Ndiyo maana michepuko haiishi kwa hali hii

Michepuko ndio chanzo kikuu Cha ndoa za watu kuvunjika.
 
Eh wanayo wanadai wanapigiwa makelele mengi sana ndani.
Ata usipopiga makelele napo tutachepuka kwa kisingizio huna amsha amsha ndani pamepoa sana, wengine msosi tu unaweza fanya tuchepuke
Kuchepuka wengine ni tabia yao Ata ufanye nn atachepuka tu ila sio kwamba hakupendi
 
Hata mwanaume mwenye wivu anamchosha mkewe unadhani mkewe akikutana na wanaume wanamna hii atawaacha salama ili tu aishi kwa amani
Mbona Kuna red flag hapo, kama mi tuti fruti hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…