Ndiyo maana walipitisha Sheria ya Spika kuwa na kinga ya kutokushitakiwa, kumbeee!

Ndiyo maana walipitisha Sheria ya Spika kuwa na kinga ya kutokushitakiwa, kumbeee!

Unamkumbuka huyu mwamba FaizaFoxy sijui kapotelea wapi? Au siku hizi ana madaraka kaamua kukaa kimya? FaizaFoxy busara zako zinahitajiwa na vijana wa JF, uwe unakuja siku moja moja kutoa hekima zako hapa.
Pia kuna huyu jamaa Ritz naye kapotea.
AlhamduliLlah, nipo.

Si wengi wa siku hizi humu JF wanaowezaa kuongoza mijadala yenye maana, iwe ya Kisiasa au ya kidini.

Huwa na ingia ingia JF na "peruse" napotea, nipo kweye mijadala ya Kimataifa zaidi siku hizi.
 
Ubarikiwe. Nashukuru kuona upo na pia kujua kwamba umejikita kwenye mijadala ya kimataifa. Kwa kweli siku hizi JF kidoogo kunakosa wataalamu wa kuongoza mijadala; rudini turudo tulikokuwa.

Napenda nikukumbushe tu kwamba Saigon Club imerejea, karibu tupate kikombe cha ghahawa pale.
 
Back
Top Bottom