Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaringa au unajisikia ..Sema cha kusikitisha ni kwamba watu wengi wanachanganya kati ya "kujipenda" na "kuringa" mtu ukijipenda unaambiwa unaringa
Wakuu ebu tuwe wawazi, hivi uko mliko serious mnafeel na kuexperience real love? Maana kwa upande wangu mambo ni bila bila, mapenzi ya kweli naishia kuyaona kwenye movies na kuyasikia kwenye lyrics za nyimbo.
Kuna muda nasikiliza nyimbo mpka nawaza kwamba hivi vitu kweli vinatokea na watu wanapendwa kwa kiwango hiki, au ni kwamba natafuta kitu ambacho ni immaginary?
Naandika yote haya ili pengine niweze kujitune niendane hali halisi, kuna muda unakutana na mdada unatia nia, ila baada ya muda unaona kabisa inaektiwa..kifupi unaona kabisa namna unavyotumika kwa ajiri ya maslahi yake ya kiuchumi, wengine wanakuwa wawazi toka mwanzo kwamba "mimi ukinihudumia tu nitakupenda".
Bado nauliza je mapenzi ya kweli yapo, au huwa ni maigizo tu. Je ninachokitafuta naweza kukipata au napoteza muda, kuhusu kuwa na mwanamke nisiyempenda na kuwa na hisia nae nilishajaribu mpka kukaa naye nikiamini nitampenda mambo yakawa kinyume kabisa, kadri siku zilivyoenda nilizidi kumchukia.
Je mapenzi ya kweli yapo? Na kama yapo ni kwamba tukubali kwamba mapenzi yana wenyewe?
Wewe sasa..Mkui we date na mtu bila kuweka expectations. Ili lolote likitokea usiumie sana
Hakikisha aucatch feeling mpaka ukaloose control
Kwenye ubora wangu😜Wewe sasa..
August Alsina bhana..
Mkuu ulikuwepo wakati huo Hadi Masiah atoe uhai wake kwa ajili yako?Ananipenda upeo, hata akatoa uhai wake kwa ajili yangu
Tatizo lenu mmekaririshwa Yesu was kwenye sinema, acheni uboya, fanyeni meditation, mpate Hali zenu za kale na mpya, mjijueMkuu ulikuwepo wakati huo Hadi Masiah atoe uhai wake kwa ajili yako?
Vipi wasingekuletea story zake kina Vasco da gamma mnamo Karne ya 18 Kupitia mashua Ungemjua?
Yaani shida tupuUnaringa au unajisikia ..
Watu wanataka kukuweka kwenye standard wanazotaka wao..
Ukikataa ndo maneno..
Well said mkuuUnajisikia hivyo kutoka na hali au mfumo wa kimaisha ambao tumeamua kuwa nao miaka hii. Mfumo wenyewe ni matokeo ya umasikini ambao umetoka kwenye hali na kuingia level ya damu. Yaani umasikini wa akili. Haya ndio mambo ambayo mwalimu nyerere alitufundisha kuwa tupige vita umasikini kwasababu madhara yake ni makubwa.
Binti huyu huyu anaekuletea mapozi katika ujana akishakuja kuzeeka huko mbeleni atakuwa tayari kwa lolote. Shida ni kwamba mwili na maumbile yake vinamchanganya akili anahisi kuwa ni mtaji wa kupatia maisha anayotaka kutokana na mitazamo ya tamaa zake za akili za kimasikini.
Imagine binti anawaza kuwa na mwanaume mwenye gari la milioni 30,nyumba ya milioni 100, na kwenye account kuwe na pesa nyingi zisizoisha. Na bado huyu mwanaume awe ni nadhifu na akili nyingi kichwani. Amsaidie yeye na familia na ukoo wake wote.
Hayon yote ni matokeo ya umasikini ambao tunaendekeza. Baba yake asingekubaliwa na mama yake leo yeye angekuwa hapo?!
Kama mama yake alikubali kuanza maisha ya chini na baba yake hadi leo anawakuta hapo yeye anakwama wapi?!
Vibinti vya siku hizi ni sifuri sana linapokuja swala la maisha, vinataka kuwa na maisha ya haraka haraka bila kuyatilia jitihada.
Wao wanaamini kuwa mwanaume ndie anaetakiwa kutoa na kufanya kila jambo kubwa wao ni watumiaji tu. Na hii tunaijenga sisi wenyewe watoto wa kiume na jamii kwa ujumla.
Tunawaendekeza na ndio maana wao wanaichukulia ni sheria kwa maana jambo la mazoea huonekana ni la kawaida, na kawaida ni kama sheria.
So wewe usihangaike nao hao. Timiza malengo yako ya msingi sababu hata ukiwa nao still watakupa tu presha ya kuyafikia malengo hayo hayo.
So be your own agenda, be your own man, be your own caretaker, be your own final decision maker. After some time utaona kawaida sababu wewe unapambana na nature ila wao wanapambana na mambo na fikra za mpito.
Iliandikwa wapi kuwa mwanamke ataiacha familia yake na kwenda kwa mwanaume mwenye Crown athlete, nyumba nzuri na kazi ya mshahara wa milion 3. But iliandikwa kuwa mwanamke na mwanaume wataacha familia zao na kujiunga pamoja kupambana na maisha.
Mwanamke ambae anakataa mwanaume ambaye ni mpambanaji sababu hajapata huyo sio mwanamke ni msichana na hajui maisha ni kitu gani. Na ukiona umeanza kufanikiwa tu kuwa makini sana na namna unachagua wanawake hawa wa kizazi hiki. Ni mara mbili upige punyeto kuliko kuweka ndani hawa viumbe kipindi hiki cha kuhangaika na maisha magumu.
Bangi za kwenye uchumi wa Kati kweli Ni Kali Sana Aisee..Tatizo lenu mmekaririshwa Yesu was kwenye sinema, acheni uboya, fanyeni meditation, mpate Hali zenu za kale na mpya, mjijue
Mapenzi ya kwelii yapoo lakini huwa hayadumu kutokana mazingira ya kipatoWakuu ebu tuwe wawazi, hivi uko mliko serious mnafeel na kuexperience real love? Maana kwa upande wangu mambo ni bila bila, mapenzi ya kweli naishia kuyaona kwenye movies na kuyasikia kwenye lyrics za nyimbo.
Kuna muda nasikiliza nyimbo mpka nawaza kwamba hivi vitu kweli vinatokea na watu wanapendwa kwa kiwango hiki, au ni kwamba natafuta kitu ambacho ni immaginary?
Naandika yote haya ili pengine niweze kujitune niendane hali halisi, kuna muda unakutana na mdada unatia nia, ila baada ya muda unaona kabisa inaektiwa..kifupi unaona kabisa namna unavyotumika kwa ajiri ya maslahi yake ya kiuchumi, wengine wanakuwa wawazi toka mwanzo kwamba "mimi ukinihudumia tu nitakupenda".
Bado nauliza je mapenzi ya kweli yapo, au huwa ni maigizo tu. Je ninachokitafuta naweza kukipata au napoteza muda, kuhusu kuwa na mwanamke nisiyempenda na kuwa na hisia nae nilishajaribu mpka kukaa naye nikiamini nitampenda mambo yakawa kinyume kabisa, kadri siku zilivyoenda nilizidi kumchukia.
Je mapenzi ya kweli yapo? Na kama yapo ni kwamba tukubali kwamba mapenzi yana wenyewe?
Simu ysngu kimeo heruf ei insgoms kusndikiks,kwenye kujifunzs nimeshspits zsmsni
Nalog off
Hahaha ni kweli kabisa, kote ni tafraniWakaka pia wanataka wenye ma wowowo miguu minene mambo ni mengi pia hata kwa wakaka
Duh Hili nalo nenoHuwezi pata wa kukupenda kiwango unachokitaka kama wewe mwenyewe hujajipenda kiwango hiko...
Wewe unajipenda kiwango gani?
Wanaokutazama wanaona kweli huyu mtu 'anajipenda'..
Ukijichukulia poa kila mtu atakuchukulia poa..
Ukijipa standard ..na watu watakupa standard..
Nimekushindwa😅😅😅😅khaKwenye ubora wangu😜