Ndiyo tuseme kwamba mapenzi yana wenyewe ama?

Mkui we date na mtu bila kuweka expectations. Ili lolote likitokea usiumie sana
Hakikisha aucatch feeling mpaka ukaloose control
 
Sema cha kusikitisha ni kwamba watu wengi wanachanganya kati ya "kujipenda" na "kuringa" mtu ukijipenda unaambiwa unaringa
Unaringa au unajisikia ..
Watu wanataka kukuweka kwenye standard wanazotaka wao..
Ukikataa ndo maneno..
 
Vuta subira ndugu, utampata Soul mate wako na huyojutia kabisaa

Cc BAK,
 
Hujachunguza kama sababu yaweza kua ni wewe?
Una Pesa?
Una Six Packs?
Msafi?
Kama vyote huna basi uwe hata na dharau,lol
Wanawake wengi wanapenda Bad Boys.
 
Ananipenda upeo, hata akatoa uhai wake kwa ajili yangu
Mkuu ulikuwepo wakati huo Hadi Masiah atoe uhai wake kwa ajili yako?

Vipi wasingekuletea story zake kina Vasco da gamma mnamo Karne ya 18 Kupitia mashua Ungemjua?
 
Mkuu ulikuwepo wakati huo Hadi Masiah atoe uhai wake kwa ajili yako?

Vipi wasingekuletea story zake kina Vasco da gamma mnamo Karne ya 18 Kupitia mashua Ungemjua?
Tatizo lenu mmekaririshwa Yesu was kwenye sinema, acheni uboya, fanyeni meditation, mpate Hali zenu za kale na mpya, mjijue
 
Well said mkuu
 
Tatizo lenu mmekaririshwa Yesu was kwenye sinema, acheni uboya, fanyeni meditation, mpate Hali zenu za kale na mpya, mjijue
Bangi za kwenye uchumi wa Kati kweli Ni Kali Sana Aisee..
Mkuu jitahidi kupunguza aisee .
 
Mapenzi ya kwelii yapoo lakini huwa hayadumu kutokana mazingira ya kipato

Mwanamke hata akupende vipi ukiwa huna hela ipo siku atakuacha

Mwanaume hata umpende vipi ukiwa pesa lazima utachepuka
 
Duh Hili nalo neno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…