Ndizi mbivu za nazi


Da farkhina hivi custard kwa kule kwetu uswahili ni nini?nimeona maelezo yake kwa kingereza"sweetened mixture of milk and eggs baked ,boiled or frozen ". Sasa nimejaribu kuvuta picha kikwetu kwetu hii twaweza ifananisha na nini?au yaweza kuandaliwa kabla?if YES then unaiandaaje?
 
Last edited by a moderator:
Ndg.Mpendwa mbona hiyo Custard zipo madukani tele (ni unga/powder wa viazi vitamu,dengu mchanganyiko nk rangi ya njano au orange color) Hutumika kufanya rojo kama cream ya mapishi tamu tamu Huepo ndani ya kikopo
 
Shukraan Swahibaty !!
BarakaAllahfiki...
 

Zipo madukani tayar zimeshatengenezwa ulizia unga wa custard tu utapatiwa wengine pia huwapikia uji wa custard watoto
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…