Kimbley
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 3,050
- 2,104
Siku ukipikanitaomba mualiko mkuu!!!
Ahahaa usijali nitakualika na zingine nitakufungia ukazile nyumbani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku ukipikanitaomba mualiko mkuu!!!
Mahitaji
Ndizi zilozowiva (mkono wa tembo au mzuzu) 4-5
Hiliki nusu kijiko cha chai
Sukari 1 tablespoon (sio lazima)
Tui bubu kiasi
Tui jepesi kiasi
Custard kijiko kimoja cha kulia
Namna ya kutaarisha
Osha vizuri ndizi na zikate sehem nne
Toa moyo (ule mstari wa kati ya ndizi)
Panga kwenye sufuria
Weka tui jepesi ila lisifunike ndizi
Weka hiliki kwa juu
Subiria ikichemka weka tui bubu
Karibia kuepua changanya custard na maji kidogo mimina katika ndizi
Acha ichemke dakika 5 alafu epua
Note:upishi huu haukirogwi bali tu kutikisa sufuria taratibu vichanganyike
View attachment 259039View attachment 259040View attachment 259041
Ahahaa usijali nitakualika na zingine nitakufungia ukazile nyumbani
Ndg.Mpendwa mbona hiyo Custard zipo madukani tele (ni unga/powder wa viazi vitamu,dengu mchanganyiko nk rangi ya njano au orange color) Hutumika kufanya rojo kama cream ya mapishi tamu tamu Huepo ndani ya kikopoDa farkhina hivi custard kwa kule kwetu uswahili ni nini?nimeona maelezo yake kwa kingereza"sweetened mixture of milk and eggs baked ,boiled or frozen ". Sasa nimejaribu kuvuta picha kikwetu kwetu hii twaweza ifananisha na nini?au yaweza kuandaliwa kabla?if YES then unaiandaaje?
Shukraan Swahibaty !!Mahitaji
Ndizi zilozowiva (mkono wa tembo au mzuzu) 4-5
Hiliki nusu kijiko cha chai
Sukari 1 tablespoon (sio lazima)
Tui bubu kiasi
Tui jepesi kiasi
Custard kijiko kimoja cha kulia
Namna ya kutaarisha
Osha vizuri ndizi na zikate sehem nne
Toa moyo (ule mstari wa kati ya ndizi)
Panga kwenye sufuria
Weka tui jepesi ila lisifunike ndizi
Weka hiliki kwa juu
Subiria ikichemka weka tui bubu
Karibia kuepua changanya custard na maji kidogo mimina katika ndizi
Acha ichemke dakika 5 alafu epua
Note:upishi huu haukirogwi bali tu kutikisa sufuria taratibu vichanganyike
View attachment 259039View attachment 259040View attachment 259041
Ndizi mbivu!??????????????????????????
Shukraan Swahibaty !!
BarakaAllahfiki...
Da farkhina hivi custard kwa kule kwetu uswahili ni nini?nimeona maelezo yake kwa kingereza"sweetened mixture of milk and eggs baked ,boiled or frozen ". Sasa nimejaribu kuvuta picha kikwetu kwetu hii twaweza ifananisha na nini?au yaweza kuandaliwa kabla?if YES then unaiandaaje?
Marhaba ya Ramadhan.
InshaAllah swaumu zetu ziwe maqboul
InshaAllah swaumu zetu ziwe maqboul
SwahibtyEe hebu tuteremshe mapishi kem kem maana huu ndiyo musimu wa kujaza matumbo kef kefak!! Lete umahiri wako ulobebea interational maakulati ....InshaAllah swaumu zetu ziwe maqboul
Amin. Yaarab
Eti Kambley ntapendelea tutoke hapa tukiwa maBest chef !!!aaamiiin!!!!
Eee malaika wa kijani wee,,, hebu nawe tumwagie vitu hapa !! Tupate kumezea mate!! usimwache Shem mdomo mkavu!!!