Ndo maana nimepanga kuoa foreigner

Hauwezi kuja na hii mentality na uongo wa nje nje kujaribu kuni manipulate na kudanganya jukwaa kizbe namna hiyo..

Na issue sio kwamba nakimbia, ninachagua upande usio na vigeu geu, usio na watu wenye lack mindset. Najua ulitaka niingie mkenge eti wanawake wote wako vile vile.

Uko sahihi, katika angle nyingine ila katika dhana ya mahusiano mmezidiwa parefu kinyama.
 
Nilikuwa Unalijua hilo, na mpka leo pattern ni ile ile tu... Wanawake wa huku ni diggers wanajificha na wasiseme au kuwa direct na kile anachokitaka mpaka option nitakapo kuja mbele yao ndo true colors zinaonekana
Natafuta Ajira mbona anafundisha Sana haya, alishamaliza kwenye module zake
 
Muulize emmanuel eboue wa arsenal kuhusu kupenda foreigners, hakuna sehemu taasisi ya ndoa inaheshimiwa kama africa especially Tanzania, zunguruka dunia nzima utakuja kuniambia
Shida hiyo ipo kwa watu maarufu na wenye hela sasa mtoa mada ana hela gani mwanamke wa kawaida wa kizungu amfilisi ?
 
Kuna Mapigo hao wa Nje hawawezi..Kuna mmoja nili muambia kuhusu (Popo kanyea Mbingu) Hajui Kuifinyia kwa ndani pia hajui..

Bora tu hawa hawa wa kwetu
 
Being conventional does not mean it is okay, ni sawa na makabila yanayo jimilikisha wanawake, wanadhani ni sahihi kimila ila ni unyanyasaji wa kijinsia.
Ni unyanyasaji kwa muono wako, kama wao wanaishi na hakuna mahali wamelalamika, maisha yao yanaenda, sioni shida.

Karibu tena jukwaani bwana Da Ganna😆😆
 
Mimi nimesoma vizuri huu Uzi wake wewe ndio umemuelewa vibaya
Kuna sehemu yeyote ile kwenye hiyo post yangu uliyo iquote nimeelezea jinsi nilivyo muelewa? unaweza kuweka hapa hayo maneno nilivyo sema jinsi nilivyo muelewa?
yeye kasema atakuwa kando kwa muda na hata akirudi hautakuwa active kama mwanzo mbona ujumbe wake upo very clear
Kuna sehemu nimesema kua ujumbe haupo clear?

Jipe muda kwanza na usome Nyuzi zake zote za kuaga humu.
 
Kuna Mapigo hao wa Nje hawawezi..Kuna mmoja nili muambia kuhusu (Popo kanyea Mbingu) Hajui Kuifinyia kwa ndani pia hajui..

Bora tu hawa hawa wa kwetu
Kati ya watu wanajua sensual sex na wanajua mapenzi ni wazungu mkuu, Achana na hawa. The art of sex iko kwao kamanda
 
In my early twenties niliwahi kuunguzwa na demu ambaye nilimpa trust 100%, yale maumivu yalikuwa makali sana ,nafikiri it took me 5 years to recover, ila nikiangalia nyuma nashukuru kilichotokea
Alikuchoma Moto? Ulifanya ukorofi gani mkuu? Usiseme alikuchoma Tu bila sababu
 
Y'all haters ni navyo waona saiz ni kama vituko tu😂😂 jamaa shusha VAR za kutosha leo😎
 
Ni unyanyasaji kwa muono wako, kama wao wanaishi na hakuna mahali wamelalamika, maisha yao yanaenda, sioni shida.

Karibu tena jukwaani bwana Da Ganna😆😆
Mkuu unaleta kicheko kwenye ukweli Mchungu?

Nimekaribia nikiwa in the higher level😎
 
Walijibu au walikaa kimya kama baadhi ya wadau wanavyotaka App ya zamani irudi..
Hawakumjibu! Akaja na uzi wa kumchamba Melo kua Jf haina impact yoyote kwenye jamii.
 
Y'all haters ni navyo waona saiz ni kama vituko tu😂😂 jamaa shusha VAR za kutosha leo😎
Kila siku unaaga humu ulifikiri una umuhimu sana humu?
Umejiona Pimbi tu ukarudisha vikalio vyako humu,
Watu wamesha kuona kua wewe ni hamnazo,unahitaji matibabu,unafungua uzi halafu unagombana na kila mchangiaji!

Lini tena una anzisha Uzi mwingine wa kutuaga?
 
But kwenye ule Uzi wake alisema nimnukuu "Nitakuwa kando kwa muda" na akasema pia hata nikijakuingia tena haitakuwa active kama mwanzo sijaona sehemu kasema harudi tena unamlinga maneno mbona kiswahili ni lugha nyepesi sijui hamkumuelewa
 
Wanaojibu huu uzi kwa mihemko na kutaka ahueni mnajisumbua tu... Kila kitu kiko wazi na wabongo wengi(wanaojielewa) wa Nalitambua hili...

Sikusema wanawake wote ila niliongea katika context ya majority, niliongelea kitu ambacho kuna jirudia rudia sana. Mzizi wake unarudi deep kabisa kwenye adaptation ya culture za wazungu kwenye mifumo ya kizungu. Ndo maana wanawake wanaishia kuwa parasites because they want independence but cannot be independent.
 
Huyo unayemjibu nahisi ndio mleta mada mwenyewe,hua anatumia nguvu kubwa sana kumtetea mleta mada,
Halafu unamkuta kwenye kila mada ya hicho kitoto anakitetea! au ni watu wanao fanana akili.
 
Nilishawahi kukuambia mleta uzi , vyovyote utakavyofanya humu wewe utaonekana ni KITUKO aka TAMBALA LA DEKI. Kaa kwa tulia tu maana ulishaingia kwa mbwembwe na drama nyingi 🤣

Walikuwemo wa kina Chief Godlove walikimbia humu na wewe unachoambulia humu ni za uso tu
 
But kwenye ule Uzi wake alisema nimnukuu "Nitakuwa kando kwa muda" na akasema pia hata nikijakuingia tena haitakuwa active kama mwanzo sijaona sehemu kasema harudi tena unamlinga maneno mbona kiswahili ni lugha nyepesi sijui hamkumuelewa
Mkuu shida ni watu wanapenda attention kwenye mambo ya kijinga, sometimes inabidi Usiwa jibu ili waje kujiona kuwa ni wao ndio wajinga.

Wanafeed kwenye pumba tu nothing serious
 
Sasa chief godlove ndo huyu de gunner kama ulikua hujui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…