Binafsi sioni faida ya kuwa humu.

Binafsi sioni faida ya kuwa humu.

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,680
Reaction score
31,804
Kwanza kabisa nipende kuweka angalizo...

Haya ni maoni yangu, sio fundamental kwa watu wengine.

Humu hakuna kitu cha kujifunza, kumejawa na watu feki. Sio kwa ubaya ila hizi ID fake zina haribu sana uchangiaji.

JF ya zamani ilikuwa bomba, kulikuwa na intellectuals ila leo, kumegubikwa na wimbi la ma gen z, wasio na filter na malezi mazuri. Unakuta mtu kaanzisha nyuzi makini ambayo wa juzi wakichangia unaondoka na kitu, ila unashangaa comment ya kwanza mtu anaweka li meme la ajabu, linakata stimu hata za watu wanaokuja next.. Wanachukulia mzaha..

This is nothing but, a wastage of time and energy humu. Siongei haya kutafuta attention kama wengi wa navyo dhani, am herw kuongea ukweli wangu.

Binafsi, kinacho ni weka humu ni updates mabli mbali tu, kwa sababu this platform is less stimulating.. Ila sioni tena umuhimu wa kubaki humu. Labda niache kuwa naingia na account itanisaidia..

Ila ukweli, mimi naona hii platform wafanye mambo kuwe na filter ya wajinga na werevu, yaani ile mijitu ambayo iko cringe iwe inapigwa Kando...

Au kuwe na follow and following.. Sijui wafanyaje, ila kuwe na upungufu wa haya makundi mabaya ambayo kazi yao ni kuharibu tu..

Imagine mtu anaweka chapisho then badala ya topic kujadiliwa watu wanaanza kuongelea udaku humo ndani, na unakuta hata sio uzi wa kuweka masihara..mimi naona labda mpaka mtu aandike long-form content ndo angalau watilie maanani ila mm naona mizaha imekuwa mingi.. And this need to change.

Sikatai mizaha ila kuwwe na utimamu basi hata kidogo, watu waangalie sehemu ya kutema shit na Sehemu ya kuweka wisdom..

It's too much na inakera japo hatusemi na Tukisema bado watu watakuja na mizaha pia.

Moderators na uongozi wa jf, simamieni misingi bora ya hili jukwaa basi..
 
Hili ni jukwaa huru , na kama ujuavyo mitandao ya kijamii ni msitu mnene, una kila aina ya maliasili, sio jukumu la msitu kukulinda wew, Bali NI jukumu lako wew kujilinda.
Pungumza mihemko, Acha kupata kihoro Kwa ID fake za humu..Hakuna anaejali kukuhusu, kila mtu anasababu zake za kua humu.

Kula chuma hiko
 
Umenikumbusha, tbc waliwahi kuandaa taarifa ya habari ya mchongo, watu waliojitambulisha n chadema wakiwa wamevaa tshirt za kutaka katiba mpya, walikuwa wanapinga katiba mpya 😂

Sasa kama huoni umuhimu wa kuwa huku, c uondoke, unamletea nani h Taarabu humu sasa?
Ni vichwa Maji kama hii ndo nilikuwa nataka member wengine waone?

Umesoma heading tu na kuja moja kwa moja ku comment

Kwanini usinge soma kwanza uzi, ni kwa sababu your fake ass brain won't let you.
 
Kwanza kabisa nipende kuweka angalizo...

Haya ni maoni yangu, sio fundamental kwa watu wengine.

Humu hakuna kitu cha kujifunza, kumejawa na watu feki. Sio kwa ubaya ila hizi ID fake zina haribu sana uchangiaji.

JF ya zamani ilikuwa bomba, kulikuwa na intellectuals ila leo, kumegubikwa na wimbi la ma gen z, wasio na filter na malezi mazuri. Unakuta mtu kaanzisha nyuzi makini ambayo wa juzi wakichangia unaondoka na kitu, ila unashangaa comment ya kwanza mtu anaweka li meme la ajabu, linakata stimu hata za watu wanaokuja next.. Wanachukulia mzaha..

This is nothing but, a wastage of time and energy humu. Siongei haya kutafuta attention kama wengi wa navyo dhani, am herw kuongea ukweli wangu.

Binafsi, kinacho ni weka humu ni updates mabli mbali tu, kwa sababu this platform is less stimulating.. Ila sioni tena umuhimu wa kubaki humu. Labda niache kuwa naingia na account itanisaidia..

Ila ukweli, mimi naona hii platform wafanye mambo kuwe na filter ya wajinga na werevu, yaani ile mijitu ambayo iko cringe iwe inapigwa Kando...

Au kuwe na follow and following.. Sijui wafanyaje, ila kuwe na upungufu wa haya makundi mabaya ambayo kazi yao ni kuharibu tu..

Imagine mtu anaweka chapisho then badala ya topic kujadiliwa watu wanaanza kuongelea udaku humo ndani, na unakuta hata sio uzi wa kuweka masihara..mimi naona labda mpaka mtu aandike long-form content ndo angalau watilie maanani ila mm naona mizaha imekuwa mingi.. And this need to change.

Sikatai mizaha ila kuwwe na utimamu basi hata kidogo, watu waangalie sehemu ya kutema shit na Sehemu ya kuweka wisdom..

It's too much na inakera japo hatusemi na Tukisema bado watu watakuja na mizaha pia.

Moderators na uongozi wa jf, simamieni misingi bora ya hili jukwaa basi..
Hili ni kombora kwa mods ikimaanisha wamepitwa na wakati. Anahitajika mods ambo wataweka filter kama sio kuondoa kabisa nyuzi za kipuuzi army mchängiaji mpuuzinfkan flan anayeandika ushuzi Kwenye uzi wa wenye wisdom
 
JF Mimi nasoma sana zile nyuzi zenye madini haswa. Nikimaliza nakuja kuwapipoa mashoga wote wapatikanao humu, yaani napumzika huku nawapopoa tu mashoga.
 
Hili ni kombora kwa mods ikimaanisha wamepitwa na wakati. Anahitajika mods ambo wataweka filter kama sio kuondoa kabisa nyuzi za kipuuzi army mchängiaji mpuuzinfkan flan anayeandika ushuzi Kwenye uzi wa wenye wisdom
Atleast wewe umesema maana nimesema mno mpaka pm zao, ila no implementation
 
Kichwa cha habari "Binafsi sioni faida ya kuwa humu", kwenye maelezo yako umeelezea sababu kibao, nadhani tatizo lako kubwa ni kupenda kupewa attention, unapokosa attention au mtu kutofautiana na wewe tayari shida. Watu kama wewe huwa mnaamini mpo sahihi. Umeandika Binafsi huoni sababu ya kuwa humu, tayari umetafuta kupewa attention, vinginevyo ungekuwa unamaanisha unge delete account ukaendelea na maisha mengine, kuanzisha Uzi kuhusu kutoona faida ya JF tayari ni tatizo. Juzi ulipigwa ban, ilipoisha tu ukarudi kuanzisha thread kujieleza kuhusu ban, kwa kimombo mnaitwa "attention seekers",. Humu ukizingua kwenye maelezo yako unapigwa spanner 🛠️, kama una kifua kidogo bora uende Fb, insta, X etc.
 
Huo ni mtazamo wako..

Kichwa cha uzi ni hint tu na haitoi mwelekeo na lengo la uzi...

Mimi kuona hakuna umuhimu ni kama kuonesha how demaged hii Sehem ipo.

Wewe umekuja na nongwa binafsi ambazo si lengo mama la huu uzi.. Huu uzi ni wakuwataka staff kuangalia mwenendo wa jf na si kutafuta attention
 
Back
Top Bottom