Supapawa
JF-Expert Member
- Aug 29, 2026
- 1,076
- 2,690
Ndiye mleta mada?
Ndiye mleta mada?
Mkuu mtu anayeandika Uzi "Binafsi sioni faida ya kuwa humu", halafu akasindikiza uzi kujibu watu bado ana matatizo. Anayemaanisha kweli haoni faida ya kuwa humu hasemi ana delete account na kufanya mambo mengine. Angalia wote wanaotofautiana mtazamo na wewe unavyo react, ndo maana nikakuita attention seeker, kama unajiona upo sahihi basi kweli una changamoto ya akili.Huo ni mtazamo wako..
Kichwa cha uzi ni hint tu na haitoi mwelekeo na lengo la uzi...
Mimi kuona hakuna umuhimu ni kama kuonesha how demaged hii Sehem ipo.
Wewe umekuja na nongwa binafsi ambazo si lengo mama la huu uzi.. Huu uzi ni wakuwataka staff kuangalia mwenendo wa jf na si kutafuta attention
Naungana na wewe pia..Japo kuwa kwepa moja kwa moja ni ngumuHuko ni kukata tamaa..
Basi kama ni hivyo kuwe na namna ya kiseparate ili hao wenye kufanya mizaha wawe na sehemu yao.. Ya kujitapa
Ni kwa sababu akili yako haina coordination kuona tatizo liko wapi... Umekalia battle za kishamba tuMkuu mtu anayeandika Uzi "Binafsi sioni faida ya kuwa humu", halafu akasindikiza uzi kujibu watu bado ana matatizo. Anayemaanisha kweli haoni faida ya kuwa humu hasemi ana delete account na kufanya mambo mengine. Angalia wote wanaotofautiana mtazamo na wewe unavyo react, ndo maana nikakuita attention seeker, kama unajiona upo sahihi basi kweli una changamoto ya akili.
Yani shida tupu kijana buku 2 huyuWee ulishaaga sijui unafanya nini humu 😁
UZi ni kuhusu masuala yako binafsi na umeshajieleza umemaliza, sisi tuchangie juu ya kinachoendelea kichwan mwako?Mbona mada mnaikwepa?
Mbona mnakuja na self attacks!! Ni nini kama sio ujinga tupu?
Hivi kuitumia hii Forum unajua kweli!!?Ndiyo mkuu, angalau unatoka hata umejifunza kitu, kuliko kukomment vithread uchwara na hakuna unacho gain!