Wewe Pimbi kila siku kulia lia tu humu,mara uikashifu JF na kusema kua ni Forums ya hovyo ila kila siku umo humu humu na vinyuzi vyako vya hovyo,
Nimekupa ukweli kabisa,umesema huoni faida ya kua humu,sasa unangoja nini? sepa na utambae mbele,hakuna jipya uliloliandika hapa,malalaimko ya aina hii yamekuwepo toka kitambo tu,huwezi kuwacontrol watu,
Kingine hebu jaribu kutafuta shughuli ya kufanya ili japo ikukeep busy nje ya JF,Umri haumsubiri mtu,kushinda juu ya sofa la mume wa Dada yako kutakuchelewesha sana siku Dada yako akiachika.