Ondokaaaaaa! Shetani toooookaaaaaa!Kwanza kabisa nipende kuweka angalizo...
Haya ni maoni yangu, sio fundamental kwa watu wengine.
Humu hakuna kitu cha kujifunza, kumejawa na watu feki. Sio kwa ubaya ila hizi ID fake zina haribu sana uchangiaji.
JF ya zamani ilikuwa bomba, kulikuwa na intellectuals ila leo, kumegubikwa na wimbi la ma gen z, wasio na filter na malezi mazuri. Unakuta mtu kaanzisha nyuzi makini ambayo wa juzi wakichangia unaondoka na kitu, ila unashangaa comment ya kwanza mtu anaweka li meme la ajabu, linakata stimu hata za watu wanaokuja next.. Wanachukulia mzaha..
This is nothing but, a wastage of time and energy humu. Siongei haya kutafuta attention kama wengi wa navyo dhani, am herw kuongea ukweli wangu.
Binafsi, kinacho ni weka humu ni updates mabli mbali tu, kwa sababu this platform is less stimulating.. Ila sioni tena umuhimu wa kubaki humu. Labda niache kuwa naingia na account itanisaidia..
Ila ukweli, mimi naona hii platform wafanye mambo kuwe na filter ya wajinga na werevu, yaani ile mijitu ambayo iko cringe iwe inapigwa Kando...
Au kuwe na follow and following.. Sijui wafanyaje, ila kuwe na upungufu wa haya makundi mabaya ambayo kazi yao ni kuharibu tu..
Imagine mtu anaweka chapisho then badala ya topic kujadiliwa watu wanaanza kuongelea udaku humo ndani, na unakuta hata sio uzi wa kuweka masihara..mimi naona labda mpaka mtu aandike long-form content ndo angalau watilie maanani ila mm naona mizaha imekuwa mingi.. And this need to change.
Sikatai mizaha ila kuwwe na utimamu basi hata kidogo, watu waangalie sehemu ya kutema shit na Sehemu ya kuweka wisdom..
It's too much na inakera japo hatusemi na Tukisema bado watu watakuja na mizaha pia.
Moderators na uongozi wa jf, simamieni misingi bora ya hili jukwaa basi..
Yeye hawezi kukufanya kitu mbaya kama yule Askari na Daktari?Humu humu tu mkuu siwezi kutaka kutoana nae nitafanya kitu mbaya sana
FreshNi matani tu mkuu, nothing serious
Hapana mkuu tunakukemea tu kama pepo kwa Mwamposa.Kaniseme kwa mello
Being here is optional, cut your hypocrisy because nobody has forced you to be here.Kwanza kabisa nipende kuweka angalizo...
Haya ni maoni yangu, sio fundamental kwa watu wengine.
Humu hakuna kitu cha kujifunza, kumejawa na watu feki. Sio kwa ubaya ila hizi ID fake zina haribu sana uchangiaji.
JF ya zamani ilikuwa bomba, kulikuwa na intellectuals ila leo, kumegubikwa na wimbi la ma gen z, wasio na filter na malezi mazuri. Unakuta mtu kaanzisha nyuzi makini ambayo wa juzi wakichangia unaondoka na kitu, ila unashangaa comment ya kwanza mtu anaweka li meme la ajabu, linakata stimu hata za watu wanaokuja next.. Wanachukulia mzaha..
This is nothing but, a wastage of time and energy humu. Siongei haya kutafuta attention kama wengi wa navyo dhani, am herw kuongea ukweli wangu.
Binafsi, kinacho ni weka humu ni updates mabli mbali tu, kwa sababu this platform is less stimulating.. Ila sioni tena umuhimu wa kubaki humu. Labda niache kuwa naingia na account itanisaidia..
Ila ukweli, mimi naona hii platform wafanye mambo kuwe na filter ya wajinga na werevu, yaani ile mijitu ambayo iko cringe iwe inapigwa Kando...
Au kuwe na follow and following.. Sijui wafanyaje, ila kuwe na upungufu wa haya makundi mabaya ambayo kazi yao ni kuharibu tu..
Imagine mtu anaweka chapisho then badala ya topic kujadiliwa watu wanaanza kuongelea udaku humo ndani, na unakuta hata sio uzi wa kuweka masihara..mimi naona labda mpaka mtu aandike long-form content ndo angalau watilie maanani ila mm naona mizaha imekuwa mingi.. And this need to change.
Sikatai mizaha ila kuwwe na utimamu basi hata kidogo, watu waangalie sehemu ya kutema shit na Sehemu ya kuweka wisdom..
It's too much na inakera japo hatusemi na Tukisema bado watu watakuja na mizaha pia.
Moderators na uongozi wa jf, simamieni misingi bora ya hili jukwaa basi..
I'm not leaving and will keep saying what I want.Being here is optional, cut your hypocrisy because nobody has forced you to be here.
View attachment 3667783
The beauty of freedom of expression.I'm not leaving and will keep saying what I want.