Binafsi sioni faida ya kuwa humu.

Binafsi sioni faida ya kuwa humu.

We mtoto jishikilie, wewe na Da Vinci nani takataka? Nenda kaangalie nyuzi zake Jamii intelligence kisha ulinganishe na thread zako hizi
Am more knowledgeable than anyone in here.. Hakuna mwingine
 
Didn't you say you are knowledgeable than anyone in here?
Mkuu mnajisumbua bure na hii k.enge inayotafuta attention na kuwapotezea muda. Nimemuita hivyo kwasababu nimehisi kuna nati zimelegea kichwani hasa baada ya member mmoja kuleta thread zake mbili za tarehe 2 September, ya kwanza kaaga watu humu kwa mbwembwe, na ya pili akarudi anadai alikuwa anatafuta attention tu. Na thread hii anataka watu wamchukulie serious😂
 
Na huyo member mmoja aliyeleta hizo thread mbili ni Mimi.
 
Mkuu mnajisumbua bure na hii k.enge inayotafuta attention na kuwapotezea muda. Nimemuita hivyo kwasababu nimehisi kuna nati zimelegea kichwani hasa baada ya member mmoja kuleta thread zake mbili za tarehe 2 September, ya kwanza kaaga watu humu kwa mbwembwe, na ya pili akarudi anadai alikuwa anatafuta attention tu. Na thread hii anataka watu wamchukulie serious😂
Acha ku recall vitu visivyo na manufaa katika huu uzi
 
Comment yako imenifikirisha kama ina ukweli vile 🤣🤣 ila Da Vinci energy ya kuchambana hivi hana
Hapo kwenye kuchambana kunaweza kujitokeza with time.
Kuna some behaviours ambazo people hu develop over time kulingana na exposure ya mazingira waliyopo.
 
Back
Top Bottom