Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 28,058
- 54,592
Hata wanawake hawan tabia za hivi ametuabisha sana wanaume🤣🤣🤣🤣Huwa namuuliza kazi anafanya saa ngapi? Ila anaishia kujishebedua.
Hata wanawake hawan tabia za hivi ametuabisha sana wanaume🤣🤣🤣🤣Huwa namuuliza kazi anafanya saa ngapi? Ila anaishia kujishebedua.
NAKUPA USHAURIKwanza kabisa nipende kuweka angalizo...
Haya ni maoni yangu, sio fundamental kwa watu wengine.
Humu hakuna kitu cha kujifunza, kumejawa na watu feki. Sio kwa ubaya ila hizi ID fake zina haribu sana uchangiaji.
JF ya zamani ilikuwa bomba, kulikuwa na intellectuals ila leo, kumegubikwa na wimbi la ma gen z, wasio na filter na malezi mazuri. Unakuta mtu kaanzisha nyuzi makini ambayo wa juzi wakichangia unaondoka na kitu, ila unashangaa comment ya kwanza mtu anaweka li meme la ajabu, linakata stimu hata za watu wanaokuja next.. Wanachukulia mzaha..
This is nothing but, a wastage of time and energy humu. Siongei haya kutafuta attention kama wengi wa navyo dhani, am herw kuongea ukweli wangu.
Binafsi, kinacho ni weka humu ni updates mabli mbali tu, kwa sababu this platform is less stimulating.. Ila sioni tena umuhimu wa kubaki humu. Labda niache kuwa naingia na account itanisaidia..
Ila ukweli, mimi naona hii platform wafanye mambo kuwe na filter ya wajinga na werevu, yaani ile mijitu ambayo iko cringe iwe inapigwa Kando...
Au kuwe na follow and following.. Sijui wafanyaje, ila kuwe na upungufu wa haya makundi mabaya ambayo kazi yao ni kuharibu tu..
Imagine mtu anaweka chapisho then badala ya topic kujadiliwa watu wanaanza kuongelea udaku humo ndani, na unakuta hata sio uzi wa kuweka masihara..mimi naona labda mpaka mtu aandike long-form content ndo angalau watilie maanani ila mm naona mizaha imekuwa mingi.. And this need to change.
Sikatai mizaha ila kuwwe na utimamu basi hata kidogo, watu waangalie sehemu ya kutema shit na Sehemu ya kuweka wisdom..
It's too much na inakera japo hatusemi na Tukisema bado watu watakuja na mizaha pia.
Moderators na uongozi wa jf, simamieni misingi bora ya hili jukwaa basi..
Aiseeee hawa majamaa ni ngumu kuwatofautisha.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kanakera. Baadaye kakishajiona klikuwa kanafanya ujinga ndio sasa kinabadili ID anakuja upya kutuchora.
Ngoja tumsogezee kabisa moja ya nyuzi yako bora kabisa,NAKUPA USHAURI
Fuatilia nyuzi zangu...hazina kichwa wala miguu....ni porojo za kusadikika na blah blah....
NI NZURI SANA KWA AFYA YA MUKICHWA.
AU SIO VP BWAN"
Kama unayoweka ni kidogo tu kuhusu wewe, basi hali yako ni mbaya zaidi ya namna nilifikiria.Unanijua toka lini wewe..
Acha kufuata mikumbo humu na maneno ya kila member..
Ninacho weka humu ni snippet ndogo sana kunihusu
Nakusaidia uachane na mawazo ya namna hii utateseka utapata magonjwa ya moyo pasipo msingi una vitu hata wanawake hawana badilikaAcha kukwepa mada na kuanza projection za kudhani unayajua maisha yangu binafsi..
Ni nyie ndo mnaoharibu jf, wewe ni millenial ila ndo hivyo huku pata hekima, upo sawa na gen z tu.
Facts 💯💯Kwenye msafara wa mamba kenge pia wamo.
Ukishindwa kuwabadilisha watu ambao wanachangia OP basi badilika wewe kuanza kuandika P ,then kwa kupitia mabadiliko yako wanaweza wakakufuata maana binadamu tunapenda kuiga mambo mazuri.
Naunga mkono hoja asilimia 100Kwanza kabisa nipende kuweka angalizo...
Haya ni maoni yangu, sio fundamental kwa watu wengine.
Humu hakuna kitu cha kujifunza, kumejawa na watu feki. Sio kwa ubaya ila hizi ID fake zina haribu sana uchangiaji.
JF ya zamani ilikuwa bomba, kulikuwa na intellectuals ila leo, kumegubikwa na wimbi la ma gen z, wasio na filter na malezi mazuri. Unakuta mtu kaanzisha nyuzi makini ambayo wa juzi wakichangia unaondoka na kitu, ila unashangaa comment ya kwanza mtu anaweka li meme la ajabu, linakata stimu hata za watu wanaokuja next.. Wanachukulia mzaha..
This is nothing but, a wastage of time and energy humu. Siongei haya kutafuta attention kama wengi wa navyo dhani, am herw kuongea ukweli wangu.
Binafsi, kinacho ni weka humu ni updates mabli mbali tu, kwa sababu this platform is less stimulating.. Ila sioni tena umuhimu wa kubaki humu. Labda niache kuwa naingia na account itanisaidia..
Ila ukweli, mimi naona hii platform wafanye mambo kuwe na filter ya wajinga na werevu, yaani ile mijitu ambayo iko cringe iwe inapigwa Kando...
Au kuwe na follow and following.. Sijui wafanyaje, ila kuwe na upungufu wa haya makundi mabaya ambayo kazi yao ni kuharibu tu..
Imagine mtu anaweka chapisho then badala ya topic kujadiliwa watu wanaanza kuongelea udaku humo ndani, na unakuta hata sio uzi wa kuweka masihara..mimi naona labda mpaka mtu aandike long-form content ndo angalau watilie maanani ila mm naona mizaha imekuwa mingi.. And this need to change.
Sikatai mizaha ila kuwwe na utimamu basi hata kidogo, watu waangalie sehemu ya kutema shit na Sehemu ya kuweka wisdom..
It's too much na inakera japo hatusemi na Tukisema bado watu watakuja na mizaha pia.
Moderators na uongozi wa jf, simamieni misingi bora ya hili jukwaa basi..
Comment yako imenifikirisha kama ina ukweli vile 🤣🤣 ila Da Vinci energy ya kuchambana hivi hanaHivi Id ya Da Vinci nayo ni yako?
Na yeye ana viswaga kama vyako halafu alikuwa na purukushani sana na watoto wa kike
Wote tuliokuambia ukweli tunataka kuona mawazo yako yakisaidia wnegine na sio kulialia hivi hivi inaboa,hivi unajua jf inafuatiliwa na watu wenye wazito wenye heshima yao kwenye jamii na kwa taifa haya mambo ni ya facebook,kuwa sehemu ya kuisadia jamii kwa mawazo na sio kwa kusema chuki kama hizi wewe unajua Melo kaipigania JF mpaka ifike hapa unajua kaweka uhai na ka take risk mpaka jf imefika hapa, unajua kipindi cha nyuma Melo alikosa hadi usingizi kukipigania hichi chombo na kulinda usiri wa wachangiaji humu kwasbabu tukigusa mambo senstive ya taifa yenye maslahi ya watu wazito hakafu unakuja wewe na sera zako hizi rahisi na zakitotoHaya endelea ku ruminate kuhusu mimi
Hakika mkuu.Naunga mkono hoja asilimia 100
zamani jamii forum ilikuwa ni kisima cha maarifa ila kwa sasa ujinga umekuwa mwingi kuliko maarifa. Wahusika wafanye jambo maana hiki kizazi cha AI na ma Geg Z wanaharibu sana hili jukwaa la jamii
We mtoto jishikilie, wewe na Da Vinci nani takataka? Nenda kaangalie nyuzi zake Jamii intelligence kisha ulinganishe na thread zako hiziUsinifananishe na Takataka. Kingine, toka mada imeanza hakuna cha maana umeandika.. Ni aina hii ya watu walio na maisha magumu, kazi yao ni kuja humu na kuleta negative vibes na vijembe tu
Sawa sawa, sasa tuangalie na nyuzi husika kuna zingine sio za kupopoa hao watu unachafua madaJF Mimi nasoma sana zile nyuzi zenye madini haswa. Nikimaliza nakuja kuwapipoa mashoga wote wapatikanao humu, yaani napumzika huku nawapopoa tu mashoga.