Binafsi sioni faida ya kuwa humu.

Binafsi sioni faida ya kuwa humu.

Mimi nimekupa ukweli. Kwa manufaa mapana ya Jf, log out, halafu pambania afya yako ya akili kisha utarudi baada hata ya mwaka.
What makes you think unanifahamu?
Acha tabia ya kuleta mihemko isiyo na maana. Hunijui sikujui baki kwenye mada. Kama hauna cha kuchangia kaa pembeni
 
Ila unajua unanichekesha hivi mkuu unajua una utoto sana mbaya zaidi unajiona mtu mzima😆,sasa kijana wangu hebu niambie unatakaje jf iwe hile hile ya miaka ya nyuma yani nini kidanyike? Kwa maoni yako sasa,kipi hasa kina kuboa na unashidnwa kuachana nacho?watu wako humu tangu 2012 mimi nawajua lakini wanachangamana vizuri tu na Gen Z sio kwa ubaya ila una makosoro huwezi ukachukulia vitu serious hivi 🤣🤣 au kuna mtu alilazimishwa kuwa humu una wivu na tabia mbaya kwamba unataka watu waichukie jf ili iweje kwako? unatafuta attention kama mtoto wa miezi miwili anae lia tu ili asikilizwe,maiaka inaenda huwezi ukalazimisha mawazo ya wachangiaji yakabaki yale yale kama ya zamani,tatizo uantafuta kupendwa fanya maisha achana na mambo ya mtandaoni vitakupa stress,nimewaza unaishije na jamii inayokuzunguka jirani,marafiki,mchumba,ndugu na wazazi sio utakua una makasiriko sana kijana utakaa na amani kwa namna hii
Mkuu! Huyu kijana sio Gen z ila ni mtu mzima hovyoo
 
Kwanza kabisa nipende kuweka angalizo...

Haya ni maoni yangu, sio fundamental kwa watu wengine.

Humu hakuna kitu cha kujifunza, kumejawa na watu feki. Sio kwa ubaya ila hizi ID fake zina haribu sana uchangiaji.

JF ya zamani ilikuwa bomba, kulikuwa na intellectuals ila leo, kumegubikwa na wimbi la ma gen z, wasio na filter na malezi mazuri. Unakuta mtu kaanzisha nyuzi makini ambayo wa juzi wakichangia unaondoka na kitu, ila unashangaa comment ya kwanza mtu anaweka li meme la ajabu, linakata stimu hata za watu wanaokuja next.. Wanachukulia mzaha..

This is nothing but, a wastage of time and energy humu. Siongei haya kutafuta attention kama wengi wa navyo dhani, am herw kuongea ukweli wangu.

Binafsi, kinacho ni weka humu ni updates mabli mbali tu, kwa sababu this platform is less stimulating.. Ila sioni tena umuhimu wa kubaki humu. Labda niache kuwa naingia na account itanisaidia..

Ila ukweli, mimi naona hii platform wafanye mambo kuwe na filter ya wajinga na werevu, yaani ile mijitu ambayo iko cringe iwe inapigwa Kando...

Au kuwe na follow and following.. Sijui wafanyaje, ila kuwe na upungufu wa haya makundi mabaya ambayo kazi yao ni kuharibu tu..

Imagine mtu anaweka chapisho then badala ya topic kujadiliwa watu wanaanza kuongelea udaku humo ndani, na unakuta hata sio uzi wa kuweka masihara..mimi naona labda mpaka mtu aandike long-form content ndo angalau watilie maanani ila mm naona mizaha imekuwa mingi.. And this need to change.

Sikatai mizaha ila kuwwe na utimamu basi hata kidogo, watu waangalie sehemu ya kutema shit na Sehemu ya kuweka wisdom..

It's too much na inakera japo hatusemi na Tukisema bado watu watakuja na mizaha pia.

Moderators na uongozi wa jf, simamieni misingi bora ya hili jukwaa basi..
Uzuri hulazimishwi,ukishaona hapafai unaondoka tu
 
What makes you think unanifahamu?
Acha tabia ya kuleta mihemko isiyo na maana. Hunijui sikujui baki kwenye mada. Kama hauna cha kuchangia kaa pembeni
Nakujua vizuri tu si unaona nina hadi nguvu za kukuambia upo na msongo? Sina haja ya kuijua sura yako ndio nikujue wewe ni mtu wa namna gani. Maandishi yako yanakuelezea wewe ni nani zaidi ya namna sura ingekuelezea.
 
Nakujua vizuri tu si unaona nina hadi nguvu za kukuambia upo na msongo? Sina haja ya kuijua sura yako ndio nikujue wewe ni mtu wa namna gani. Maandishi yako yanakuelezea wewe ni nani zaidi ya namna sura ingekuelezea.
Unanijua toka lini wewe..
Acha kufuata mikumbo humu na maneno ya kila member..

Ninacho weka humu ni snippet ndogo sana kunihusu
 
Back
Top Bottom