Binafsi sioni faida ya kuwa humu.

Binafsi sioni faida ya kuwa humu.

Hukutakiwa kusema hili in the first go… Kama ulisema hili ikiwa hujui mtu humu huoni my following question was valid?

Think!
Nimesema hayo with being specific, na kutoa reason behind... Nimesema nikiwa namaanisha. Kabisa.. Nakujua based on your writings in here

Ila wewe umetoa maelezo, ambayo huwezi kuyatetea. Unakwepa maswali, na unaacha kutetea madai yako
 
Niliuliza swali sikutoa maelezo, ulipaswa ujibu HAPANA (huwa vioo vyao havinioneshi kitu) NDIO (huwa najitazama kwenye vioo vyao najiona nisivyojipenda)

Simple usinilishe maneno.
 
Unachekesha sana mkuu, 😂

Sichekeshi katafute matibabu. This happened due to previous life experiences.

Jiulize kwa nini huwezi kuishi bila kutafuta attention? Ilihali wengine wengi hawana haja na attention. Something is not okay.

Why do think your of self important than others. Kwamba wewe ni knowledgeable, intelligent and smart than others.

Hiyo nguvu uliyonayo yakujibu kila mtu tena in aggressive way nayo sio normal.

I guess hata chakula utakuwa unakula kingi sana kupita kawaida 🤣🤣🤣
 
Hiyo nguvu uliyonayo yakujibu kila mtu tena in aggressive way nayo sio normal.

I guess ata chakula utakuwa unakula kingi sana kupata kawaida 🤣🤣🤣
Aisee😂😂😂

It's who I am, sipendi kuacha mtu salama, afanye ujinga wake anko kujua huko ila sio mbele yangu.

Other than that mm sio mkorofi wala mtu wa kujikweza kama unidhaniavyo
 
Back
Top Bottom