Ndo Projects za Graduates? Matikiti Mengi Sana Dar es Salaam yanapatikana kwa Sh.300/=

Ndo Projects za Graduates? Matikiti Mengi Sana Dar es Salaam yanapatikana kwa Sh.300/=

Kila graduates anataka kulima tikiti hatimaye supply exceed demand dragging the price..consumers welfare loss to producer
 
Kuna mshkaji alilima mengi hayo,ila hakuwa na uzoefu shamba lake lilikuwa karibu na makazi ya ngedere wakala karibu yote.

Ilibidi ajipange upya.
 
Wafanye agricultural consultation kabla ya kuingia field na kuanza kujitutumua kwa kutumia maandiko ya inspiration ambayo mara nyingi hayana/hayaweki bayana changamoto watakazo kutananazo field.

Pili waende sokoni wafanye uchunguzi ni kipindi gani kuna mahitaji makubwa ya kile atakachokizalisha ili kuepuka hasara.
Anayeingia kwenye practical issue ni bora mara mia kuliko anayeishia katika theory. Kila nyanja inachangamoto zake,anayekutana nazo na kuzikabili anakua anasonga mbele na humwambii kitu maana anaenda huku akifanya twists and turns ya kitu anachokifahamu. Agriculture activities do needs mentors not consultants if you need better results. Mentor ni kama guide tour ambaye huenda na mgeni wake toka kituo A mpaka B ambapo unakuta anapafahamu na consaltant ni kama transport agent ambaye hukutana na mgeni kituo A anamuelekeza kwenda kituo B ambacho pengine hajawahi fika,au hakijui kisha yeye hubaki kituo A. Haya ni mawazo yangu

Wasalaam
 
Nahisi point yangu na yako haziko mbali na uhalisia, kinachojadiliwa ni jinsi gani anaeingia katika kilimo aweze kulima bila ku-incure loss ikizingatiwa hakuna anayelima ili aje apate hasara.

Kwa mantiki hiyo umuhimu wa mwelekezaji(agriconsultant) ni muhimu kwa yule anaetamani kwenda point B tokea point A bila kujua point B ni wapi na ntafika kwa usafiri gani, ili asijepotea katikati ya hizo point mbili.

Na ikumbukwe the best agriconsultant ni wale native client in the field ndo wanajua the real agronomy practise kiundani zaidi, kinyume cha hapo ni (supply> demand=low price) automatically ume-incure loss.

Kuthubutu ni muhimu sana lakini kwa kuangalia waliothubutu waka-fail tatizo ilikuwa ni nini ndo unaweza kukwepa hasara.
 
Tikiti sh 300 huyu jamaa hayuko serious
 
Mwenye macho haambiwi tazama huu mmea unapingana na sheria za kiuchumi wenyewe when Supply > Demand = The higher the price
Na hata kinyume chake bado the higher the price.
Unahitaji ujasiri tu, na tena unastawi hata ndani
View attachment 508404
Serikali yetu ifanye kama kenya walivyofanya kwenye mirungi au moroco kwenye uho mmea ili vijana wajiajiri
Kwani hoyo mimea inat7mika kutengeneza bidhaa nuingi zaidi ya madawa tatizo hatufanyi research
 
Mwenye macho haambiwi tazama huu mmea unapingana na sheria za kiuchumi wenyewe when Supply > Demand = The higher the price
Na hata kinyume chake bado the higher the price.
Unahitaji ujasiri tu, na tena unastawi hata ndani
View attachment 508404
Madini yakikutwa kwenye ardhi yako ni mali ya serikali.. Ila bangi ikikutwa kwenye ardhi yako, ni mali yako n u r in trouble.
 
Matikiti mnayapendea nini?... Au kwakuwa yanazungumzwa sana na wadau ndio yanapata fursa ya kununuliwa???.... Matango wapi nayapata jamani??.... Hiyo bei hakuna labda yeye kakumbwa na madalali wa matikiti maana madalali wanapenda wao tu ndio wafanikiwe...
 
Wakuu nimeshangaa bei ya Matikiti Jana nilivyopita Sokoni na Kununua Tikiti kubwa kwa Tsh. 300/= tofauti na Maneno Mengi ya Kwenye Keyboard yanayosimuliwa na watu wengi ambao wamezaliwa Dar es Salaam ambako hakuna Shamba.

Tukitaka kutoka tufanye Kilimo kwa timing Ikiwemo Mazao ambayo unaweza kuhifadhi hata kama hauna Mteja Matikiti nyanya, Nanasi na Mbogamboga ni Vigumu sana kuyahifadhi.

Supply > Demand = Low Price
View attachment 508109
Wasomi inabidi wawe unique kidogo, wabuni hata dawa ya kusimamisha matiti yaliyolegea, watauza sana wale wa mwanzo.
 
Shut down the trolling process, your fact is lower than the average trolling frequency.
 
Back
Top Bottom