Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anayeingia kwenye practical issue ni bora mara mia kuliko anayeishia katika theory. Kila nyanja inachangamoto zake,anayekutana nazo na kuzikabili anakua anasonga mbele na humwambii kitu maana anaenda huku akifanya twists and turns ya kitu anachokifahamu. Agriculture activities do needs mentors not consultants if you need better results. Mentor ni kama guide tour ambaye huenda na mgeni wake toka kituo A mpaka B ambapo unakuta anapafahamu na consaltant ni kama transport agent ambaye hukutana na mgeni kituo A anamuelekeza kwenda kituo B ambacho pengine hajawahi fika,au hakijui kisha yeye hubaki kituo A. Haya ni mawazo yanguWafanye agricultural consultation kabla ya kuingia field na kuanza kujitutumua kwa kutumia maandiko ya inspiration ambayo mara nyingi hayana/hayaweki bayana changamoto watakazo kutananazo field.
Pili waende sokoni wafanye uchunguzi ni kipindi gani kuna mahitaji makubwa ya kile atakachokizalisha ili kuepuka hasara.
Nahisi point yangu na yako haziko mbali na uhalisia, kinachojadiliwa ni jinsi gani anaeingia katika kilimo aweze kulima bila ku-incure loss ikizingatiwa hakuna anayelima ili aje apate hasara.Anayeingia kwenye practical issue ni bora mara mia kuliko anayeishia katika theory. Kila nyanja inachangamoto zake,anayekutana nazo na kuzikabili anakua anasonga mbele na humwambii kitu maana anaenda huku akifanya twists and turns ya kitu anachokifahamu. Agriculture activities do needs mentors not consultants if you need better results. Mentor ni kama guide tour ambaye huenda na mgeni wake toka kituo A mpaka B ambapo unakuta anapafahamu na consaltant ni kama transport agent ambaye hukutana na mgeni kituo A anamuelekeza kwenda kituo B ambacho pengine hajawahi fika,au hakijui kisha yeye hubaki kituo A. Haya ni mawazo yangu
Wasalaam
He is trolling! That's what he does best!The Troll in JF.
-Kaveli-
Serikali yetu ifanye kama kenya walivyofanya kwenye mirungi au moroco kwenye uho mmea ili vijana wajiajiriMwenye macho haambiwi tazama huu mmea unapingana na sheria za kiuchumi wenyewe when Supply > Demand = The higher the price
Na hata kinyume chake bado the higher the price.
Unahitaji ujasiri tu, na tena unastawi hata ndani
View attachment 508404
hahahahahaha daaaaaaahwapi ilo Tikiti la 300 au ni la bluu?
Madini yakikutwa kwenye ardhi yako ni mali ya serikali.. Ila bangi ikikutwa kwenye ardhi yako, ni mali yako n u r in trouble.Mwenye macho haambiwi tazama huu mmea unapingana na sheria za kiuchumi wenyewe when Supply > Demand = The higher the price
Na hata kinyume chake bado the higher the price.
Unahitaji ujasiri tu, na tena unastawi hata ndani
View attachment 508404
Wasomi inabidi wawe unique kidogo, wabuni hata dawa ya kusimamisha matiti yaliyolegea, watauza sana wale wa mwanzo.Wakuu nimeshangaa bei ya Matikiti Jana nilivyopita Sokoni na Kununua Tikiti kubwa kwa Tsh. 300/= tofauti na Maneno Mengi ya Kwenye Keyboard yanayosimuliwa na watu wengi ambao wamezaliwa Dar es Salaam ambako hakuna Shamba.
Tukitaka kutoka tufanye Kilimo kwa timing Ikiwemo Mazao ambayo unaweza kuhifadhi hata kama hauna Mteja Matikiti nyanya, Nanasi na Mbogamboga ni Vigumu sana kuyahifadhi.
Supply > Demand = Low Price
View attachment 508109