mmm!! HIYO KWANGU NGUMU,,hata niwe na hasira vipi , nikifika chumbani zote zinaisha navumilia tu kutokudo kama kuna sababu ya msingi na hasa kama tu wagonjwa au mmojawetu mgonjwa au amesafiri lakin hivi hivi eti hasira aah i cant,,tena ukiDO huku unabembelezwa unaejoy kupita kiasi,,,sasa hao iweje waweze kukaa miaka mitano bila ku do???,, hapo kuna namna kila mtu ana njia yake anayokidhi haja zake.....,,ila nawashauri malizeni tofauti yenu ,,yapo mengi yaliyowaunganisha lakin hili la KUDO nadhani limebeba dhana nzima ya ndoa pia uboresha upendo kati yenu na kuboresha afya zenu za ujumla,,,punguzeni kushindana,,lazima mjifunze kujishusha kat yenu,,kudo kunaongeza furaha na ufanisi wa kazi so please!! ongeeni tatizo lenu mpate suluhisho then mwendelee kuifurahia ndoa yenu....poleni sana ksb najua lazima kat yenu kuna mmoja anaumizwa na hali hiyo...msipoelewana chumbani mtaelewana wapi tena??? elewaneni wapendwa.....
NJIA ATUMIAYO MTU KUPATA UFUMBUZI WA MATATIZO NDIYO KIELELEZO CHA UTU ,HEKIMA NA BUSARA ALIYONAYO