Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sababu za kukorofishana sina hakika lakini
moja ni jamaa na uwezo mdogo kipesa kuliko mama
na hilo ndio chimbuka la matatizo hapo ndani
ya wezekana maza hataki kumvulia tena huyo mtwana
Kulikuwa hakuna ukimwi walikuwa waatembea tu utakuta jirani kazaa na mke wa jirani hakuna anaejua na maisha yanaendelea, sasa hivi kuna magonjwa mengi ndio maana mtu akiona mwenzake haeleweki anaanza kivyake, wapo bado wenye moyo wa kuvumilia ila sio wengi aiseeembona wazazi wetu ni wazee wanakaa bila sex miaka nenda rudi na wako pamoja?? hapana ndoa sio sex ni makubaliano,kama wamekubaliana kutokudo then tuwaache ni maamuzi yao,utashangaa wako happy kushinda nyie mnao do mara kwa mara.:juggle:
Ndoa ndoana.
ndoa is more than sex my friend. Kifupi ni kwamba, sex ni sehemu tu ya ndoa. Mhimili wa ndoa ni ule upendo wa dhati ambao unatoka deep kabisa mioyoni mwa wapendanao. Chunguza ndoa zote ambazo wahusika walioana kwa kutamaniana kimapenzi, hazidumu kabisa. Unaweza kumtamani mdada mwenye shepu ya ki-model, lakini akizaa tu anadeform completely. Mwisho wake ni ndoa kuvunjika. Lakini kama kuna upendo wa kweli, hata akipata kansa na akakatwa matiti yote, hutomwacha!