ndoa bila sex

ndoa bila sex

mmm!! HIYO KWANGU NGUMU,,hata niwe na hasira vipi , nikifika chumbani zote zinaisha navumilia tu kutokudo kama kuna sababu ya msingi na hasa kama tu wagonjwa au mmojawetu mgonjwa au amesafiri lakin hivi hivi eti hasira aah i cant,,tena ukiDO huku unabembelezwa unaejoy kupita kiasi,,,sasa hao iweje waweze kukaa miaka mitano bila ku do???,, hapo kuna namna kila mtu ana njia yake anayokidhi haja zake.....,,ila nawashauri malizeni tofauti yenu ,,yapo mengi yaliyowaunganisha lakin hili la KUDO nadhani limebeba dhana nzima ya ndoa pia uboresha upendo kati yenu na kuboresha afya zenu za ujumla,,,punguzeni kushindana,,lazima mjifunze kujishusha kat yenu,,kudo kunaongeza furaha na ufanisi wa kazi so please!! ongeeni tatizo lenu mpate suluhisho then mwendelee kuifurahia ndoa yenu....poleni sana ksb najua lazima kat yenu kuna mmoja anaumizwa na hali hiyo...msipoelewana chumbani mtaelewana wapi tena??? elewaneni wapendwa.....





NJIA ATUMIAYO MTU KUPATA UFUMBUZI WA MATATIZO NDIYO KIELELEZO CHA UTU ,HEKIMA NA BUSARA ALIYONAYO
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mnashangaa nini wakati hivi vitu ni kawaida ktk ndoa nyingi sana hapa duniani? Hasa kwenye ndoa ambazo mwanaume ni 'chupi chini' sana. Wanawake wengi huona heri wahame chumba na walale vyumba tofauti. Nimeona ndoa nyingi za aina hii na matokeo yake kwa baadhi unakauta mume anakufa kwa ngoma mwanamke anaendelea kudunda na wala hana ngoma.
Mara nyingi usuluhishi unatafutwa upande wa mama ila unakuta mwanaume anaweka bayana kuwa kuhama kwake chumba mwanamke si hoja maana ana wanawake wazuri sana kuliko yeye basi unakuta mwanamama anakaza buti anaendekea kulala chumba cha watoto.
Wasioweza kuvumilia ndio tunasikia wameachana. Mnaoshangaa sana hili basi bado hamjayashuhudia au hayajawatokea. Kwa wale wanaosifu kuchakachua tegemea haya katika ndoa zenu .
 
sababu za kukorofishana sina hakika lakini
moja ni jamaa na uwezo mdogo kipesa kuliko mama
na hilo ndio chimbuka la matatizo hapo ndani
ya wezekana maza hataki kumvulia tena huyo mtwana

Hapo sasa kwenye red ni ka topic tofauti kwa kweli...hivi kwanini wengi wao wakishapata uwezo wa kipesa wanakuwa overconfident?
Yaani sheria mingi sana..yaani wao pesa ikisha shika kichwa chao basi mwanaume kama hana pesa basi atapata shida sana..wanataka kutawaliwa kimwili,kiakili,kifedha etc.
 
maana ya ndoa ni lile tendo lenyewe sasa kama tendo halipo na ndoa haipo bora wapeane talaka kila mmoja aamue lake maana kwa kipindi cha miaka mitano inaonekana wanatenda nje ya ndo wapeane uhuru
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hakuna sababu kabisa maana sex ni kiungo muhimu jaman ndoani mimi binafsi ningesepa tu, miaka mitano kuvumilia sababu ya watoto! kwani hamuwezi mkawalea wakati mko separate kila mtu akatafuta anaevutiwa nae maisha yakaendelea? embu tambelea thread za gaga labda utaambulia kitu maana nimeona kapitia hiki kipindi kwa miaka minne na sasa matatizo yake yameisha
 
miaka mitano bila ku do???, wakati ham umwi??, na watu wote wawili mpo wote kila siku??? ,,hapo kuna namna ....kila mmoja ana namna anayoitumia kukidhi hitaji lake la ku do.....siyo vizuri malizeni tofauti zenu ili mfurahie ndoa yenu......maana ya ndoa ni nini???? najua ina maana nyingi lakn ku do ni mojawapo ya maana kuuubwa sana ya ndoa......mkimaliza tofauti zenu basi kabla ya kuanza ku do kapimeni afya zenu hosp ili mjue kama mpo salama dhidi ya vvu.........manake miaka mitano bila mawasiliano ya karibu yawezekana shetani alitumia kipindi hicho kuwaweka majaribuni kwa kuanguka nje ya ndoa yenu......
 
maisha ya ndoa ni magumu sana ndugu zanguni unahitajika moyo wa uvumilivu sana
 
mbona wazazi wetu ni wazee wanakaa bila sex miaka nenda rudi na wako pamoja?? hapana ndoa sio sex ni makubaliano,kama wamekubaliana kutokudo then tuwaache ni maamuzi yao,utashangaa wako happy kushinda nyie mnao do mara kwa mara.:juggle:
 
mbona wazazi wetu ni wazee wanakaa bila sex miaka nenda rudi na wako pamoja?? hapana ndoa sio sex ni makubaliano,kama wamekubaliana kutokudo then tuwaache ni maamuzi yao,utashangaa wako happy kushinda nyie mnao do mara kwa mara.:juggle:
Kulikuwa hakuna ukimwi walikuwa waatembea tu utakuta jirani kazaa na mke wa jirani hakuna anaejua na maisha yanaendelea, sasa hivi kuna magonjwa mengi ndio maana mtu akiona mwenzake haeleweki anaanza kivyake, wapo bado wenye moyo wa kuvumilia ila sio wengi aiseee
 
one way ticket to small house, prostitute, Gigolo etc...

sasa umuhimu wa hivyo vitu ndo utjionyesha ....
 
ndoa is more than sex my friend. Kifupi ni kwamba, sex ni sehemu tu ya ndoa. Mhimili wa ndoa ni ule upendo wa dhati ambao unatoka deep kabisa mioyoni mwa wapendanao. Chunguza ndoa zote ambazo wahusika walioana kwa kutamaniana kimapenzi, hazidumu kabisa. Unaweza kumtamani mdada mwenye shepu ya ki-model, lakini akizaa tu anadeform completely. Mwisho wake ni ndoa kuvunjika. Lakini kama kuna upendo wa kweli, hata akipata kansa na akakatwa matiti yote, hutomwacha!
 
ndoa is more than sex my friend. Kifupi ni kwamba, sex ni sehemu tu ya ndoa. Mhimili wa ndoa ni ule upendo wa dhati ambao unatoka deep kabisa mioyoni mwa wapendanao. Chunguza ndoa zote ambazo wahusika walioana kwa kutamaniana kimapenzi, hazidumu kabisa. Unaweza kumtamani mdada mwenye shepu ya ki-model, lakini akizaa tu anadeform completely. Mwisho wake ni ndoa kuvunjika. Lakini kama kuna upendo wa kweli, hata akipata kansa na akakatwa matiti yote, hutomwacha!

Poa ndoa ni more yhan sex ila miaka mitano ni mingi sana aisee bila kutoa ugwadu lol ntakufa mie. labda umri uwe umeenda lakini kwa umri wangu unikalishe miaka mitano bila sex???? patachimbikaje
 
Back
Top Bottom