Ndoa halali, ndoa batili na ndoa batilifu. Je, wajua pia kuna msamaha halali wa kweli, msamaha batili na msamaha batilifu? Msamaha ule ni batilifu!

Najua jamaa alikuita kwenye ile kamati yake enzi za utukufu wake, lakini asamehewe tu kama alivyoomba. Amekosa jamani, amekosa sana, wazanzibari ..... I mean watanzania tumsamehe.
 
Pascal leave the speaker alone...usitumie hii kama fimbo ya kumuadhibu, hata kama hukustahili kuhojiwa wakati ule msamehe tu.
 
Kwa kinachoendelea hapa ikulu busara kwa Ndungai ni kujiuzuru tu hakuna kingine anaweza fanya kurekebisha mambo
 
Kilichomtoa mayala kwenye ramani ni hizi riwaya zake za kutetea waovu na kujipendekeza kwa watawala.

Wewe Mayala utafika mbinguni unachachamaa
 
.
Je, Wajua Kuna Msamaha wa Kweli, Msamaha Batili na Msamaha Batilifu?
Sasa kama ilivyo kwenye ndoa, si wengi wanaojua kuwa kwenye msamaha, pia kuna msamaha wa kweli, msamaha batili na msamaha batilifu.
Hata msamaha huu ni msamaha batili!, kwasababu kilichosemwa ni kitu cha ukweli kabisa, kimesemwa kwa kudhamiriwa, kitendo cha kusema it was a joke, ni uongo just to pay lip services

P
 
Hata msamaha huu ni msamaha batili!, kwasababu kilichosemwa ni kitu cha ukweli kabisa, kimesemwa kwa kudhamiriwa, kitendo cha kusema it was a joke, ni uongo just to pay lip services

P
Pole wahanga wote wa kauli hizi na jua hata aliyekuwa mbunge tarajiwa wa kawe alikuwa mhanga pengine wa bao la mkono ama kunyolewa kichwa na waishimiwa wajumbe.
 
Pole wahanga wote wa kauli hizi na jua hata aliyekuwa mbunge tarajiwa wa kawe alikuwa mhanga pengine wa bao la mkono ama kunyolewa kichwa na waishimiwa wajumbe.
Kwenye kura za maoni za CCM, kule hakuna bao la mkono, kule ni kila mbuzi kula urefu wa kamba yake kuwafikia wajumbe. Mimi ni Nyerere type, siku reach out kwa mjumbe hata mmoja kwa kumshika mkono!, matokeo yake, niliambulia kura moja, ya mtu aliyeshikwa mkono na wengine!.

Hili la wanasiasa kudhaminiwa na chama cha siasa, nimelipigia kelele sana humu jukwaani, nimepandisha threads zaidi ya 100!

Sikuishia kuandika tuu, pia nimezungumza mara 3 kwenye mikutano

View: https://youtu.be/PBpjDhH2XiA?si=3tg5GfB_6beRY2iv
View: https://youtu.be/3a4SjkV46JY?si=K6gaScq6TXBCbJBE
View: https://youtu.be/lBC3xKODSvY?si=cnJxysMJUVkXxhB-Naamini kuna siku kilio hiki kitasikika!.
P.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…