haswaaaaa............kwa ushauri wa bure jamani shake well before use!!!! aibu za namna hiyo zisingetokea unauziwa mbuzi kwenye gunia hivi hivi lol!!! Ila im very sorry for her!!!!
lol........!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haswaaaaa............kwa ushauri wa bure jamani shake well before use!!!! aibu za namna hiyo zisingetokea unauziwa mbuzi kwenye gunia hivi hivi lol!!! Ila im very sorry for her!!!!
Inaonekana jamaa hakuomba mzigo kabla ya ndoa, angeombaje wakati ngoma haisimami? Demu alimuamini kwa kujua labda jamaa ana maadili ndio maana anasubiri hadi ndoa..Wanawake wa siku hizi matatizo tu! Wakati jamaa anamuomba mbunye kabla ya kuoana alivunga halafu leo ndo analalamika. Sasa kwa vile maji ameshayavulia nguo hana budi kuyaoga!
hata kama hapati "haki ya ndoa" aendelee kukaa tu??Kwani kiapo cha Ndoa kinasemaje jamani...Nitakuwa nae wakati wa shida na Raha ee Mwenyezi Mungu unisaidie.... na watu wanapiga makofi. Atulie watafute suluhisho matatizo hayo yanatibika. Talaka sio suluhisho ama kuvunja ndoa sio suluhisho, hajapata watu wakumshauri vema tu.