Ndoa Hii Inaweza Kuvunjwa??

Ndoa Hii Inaweza Kuvunjwa??

haswaaaaa............kwa ushauri wa bure jamani shake well before use!!!! aibu za namna hiyo zisingetokea unauziwa mbuzi kwenye gunia hivi hivi lol!!! Ila im very sorry for her!!!!

lol........!
 
Wanawake wa siku hizi matatizo tu! Wakati jamaa anamuomba mbunye kabla ya kuoana alivunga halafu leo ndo analalamika. Sasa kwa vile maji ameshayavulia nguo hana budi kuyaoga!
 
Wanawake wa siku hizi matatizo tu! Wakati jamaa anamuomba mbunye kabla ya kuoana alivunga halafu leo ndo analalamika. Sasa kwa vile maji ameshayavulia nguo hana budi kuyaoga!
Inaonekana jamaa hakuomba mzigo kabla ya ndoa, angeombaje wakati ngoma haisimami? Demu alimuamini kwa kujua labda jamaa ana maadili ndio maana anasubiri hadi ndoa..
 
Kwa kanuni taratibu na sheria za ndoa, moja ya sababu kubwa kabisa zinazoweza kubatilisha ndoa au kufanya ndoa kuwa batili ni UHANISI WA MWANAMME, Yapo mazingira yanayoweza kujadiliwa iwapo uhanisi huo ni wa muda au unaweza kutibika, lakini kama ni wa kudumu na hauwezi kutibika basi kanisa lina taratibu za kufuata na kuweza kuvunja ndoa hiyo kwa kuwa moja ya misingi ya ndoa hai ni pamoja na "tendo la ndoa", sasa kama tendo hili haliwezi kufanyika basi ndoa hiyo ni batili na inaweza KUVUNJWA.

Naomba kuwasilisha!!
 
Do masikini kijana huyu; nadahani kosa kubwa alilofanya ni kutokuwa mkweli; akubali kufanyiwa uchunguzi
 
Ndoa hiyo inaweza kuvunjwa, ndoa ni tendo la ndoa kama halipo hakuna ndoa hapo, tena hii haendi hata mahakamani, kanisa linaweza kuivunja
 
Ndoa hiyo inaweza kuvunjwa, ndoa ni tendo la ndoa kama halipo hakuna ndoa hapo, tena hii haendi hata mahakamani, kanisa linaweza kuivunja

kweli kabisa, hivi sasa ipo kwenye hatua za mwanzo za kuvunjwa...
 
Kulingana na mafundisho ya kanisa katoliki, ili ndoa kuwa ndoa ina sehemu kuu mbili. Kwanza ni makubaliano kanisani(Exchange of vows) Then tendo la Ndoa(Consumation). Kama mojawapo imeshindikana, it is assumed that there was no married. Kwa hiyo kulingana na hiyo hali iliyoelezewa hapo juu kulikuwa hakuna ndoa. Na Consumation ni kwamba mwanaume kuweza kumwingia mke wake na kumwaga. Kwa hiyo hiyo ni kazi rahisi hakuna hata na haja ya kwenda mahakamani.
 
Kwani kiapo cha Ndoa kinasemaje jamani...Nitakuwa nae wakati wa shida na Raha ee Mwenyezi Mungu unisaidie.... na watu wanapiga makofi. Atulie watafute suluhisho matatizo hayo yanatibika. Talaka sio suluhisho ama kuvunja ndoa sio suluhisho, hajapata watu wakumshauri vema tu.
 
Unajua kabisa jongoo hapandi mtungi alafu unaena kuoa unategemea nini kama sio aibu bora angejikalia hivyo hivyo tu
 
Hiyo ndoa haivunjwi kwa sababu haijawahi kuwepo kwa sababu wakati wanafunga ndoa hiyo mwanaume alikuwa na kizuizi cha ndoa: kizuizi cha kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa (impotency). Kwa kuwa huyo bwana alikuwa hivo, "ndoa"hiyo haikuwa valid, japo madhehebu (rites) ya kufunga ndoa yalifanyika.Makubaliano yao maharusi hayakuzaa ndoa kwa sababu ya hicho kizuizi, hivyo ndoa hiyo ni null and void.
Na kwa kuwa ni null and void ndoa hiyo haivunjwi kwa sababu haijawahi kuwepo.Kumbe inatangazwa rasmi na Kanisa kuwa ilikuwa batili baada ya kuthibitisha kwa mahojiano na wanandoa, na wale waliokuwa wanawajua wanandoa na hasa bwana harusi ambaye ndiyo mwenye tatizo. Na katika hatua hii ya kutafuta ushahidi wa kuwepo kizuizi hiki cha impotency lazima madakatari wamchunguze jamaa na kutoa ripoti kwa maandishi kwa mahakama ya kanisa. Mahakama ya kanisa ikiridhishwa na ushahidi usio na shaka basi itatangaza rasmi (declare) kwamba ndoa hiyo ilikuwa null and void; na hivo kumpa ruhusa bibi harusi kufunga ndoa na mwanaume mwingine.
Kwa sasa si lazima bibi harusi aendelee kukaa na bwana harusi. Aweza kwenda kwao, yaani wakatengana mpaka kesi itakapokuwa imehukumiwa. Na kwa kawaida kes ihizo huchukua muda mrefu ndo hukumu itolewe. Kumbe hawezi muathirika kukaa tu na mwenzake wakati hakuna kinachofanyika. Lakini yafaa pia aombe ushauri wamchungaji wake.
 
Kwani kiapo cha Ndoa kinasemaje jamani...Nitakuwa nae wakati wa shida na Raha ee Mwenyezi Mungu unisaidie.... na watu wanapiga makofi. Atulie watafute suluhisho matatizo hayo yanatibika. Talaka sio suluhisho ama kuvunja ndoa sio suluhisho, hajapata watu wakumshauri vema tu.
hata kama hapati "haki ya ndoa" aendelee kukaa tu??
 
Unajua kabisa jongoo hapandi mtungi alafu unaena kuoa unategemea nini kama sio aibu bora angejikalia hivyo hivyo tu

Ha ha ha haah!! Ndio hapo panaponishangaza.
 
Babuyao said it all! Hakikuwa na ndoa so hakuna kinachovunjwa. Hii ni according to Catholic Church Law, kama hujui usijifanye unajua!

Katavi tupe feedback!
 
Last edited by a moderator:
learn to read the date of the post before quoting
 
Babuyao said it all! Hakikuwa na ndoa so hakuna kinachovunjwa. Hii ni according to Catholic Church Law, kama hujui usijifanye unajua!

Katavi tupe feedback!
Kaunga ndoa hiyo imevunjwa rasmi na taratibu zote za kuivunja zimefuatwa na imetangazwa kanisani kuwa ile ndoa ilikuwa batili.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom