Ndoa hizi zitatuua jamani!

Hao inatakiwa uishi nao kwa akili,ukisema uache huyo unaweza kupata kimeo mpaka ukaona afadhali yule uliemuacha,wana tabia kama zinafanana,na hata kama zinatofauti basi ni kidogo sana...
 
sasa huchepuki sana maanake nini? wewe umeoa hutakiwi kuchepuka kabisa
 
Sasa kuna faida gani ya kuoa halafu unaogopa kurudi nyumbani kisa mkeo ana kelele na pia unachepuka?
Nyumba ya kwako, mke wa kwako tena umemtolea mahari halafu unaogopa kurudi nyumbani😁😁😁😁😁😁
Upuuzi mtupu ..
Bado kuna mke kugongewa daaah.

Mke wa mtu mumewe now yupo shamba ila mda wote anataka kuja nilipo W,TF
 
Kuna Mwanaume ambaye hachepuki?
wala hatamani kuchepuka?
Tupo mkuu swala la kuchepuka sio mpaka uwe na mwanamke mwaminifu lahasha ni swala la kiroho kidogo, swala hapa ni kuwa na hofu ya Mungu ndiyo itakufanya usichepuke kabisa, ukijua dhambi ya uzinzi ni upotofu na humchukiza Mungu unaacha na inawezekana kabisa, mmeambiwa ombeni msiingie majaribuni sio kama hutamani kuchepuka hapana unatamani ila kwa kuwa unaomba Mungu kuvishinda vishawishi basi inakua rahisi
 
Ukishagundua una mke wa namna hiyo punguza kumpa attention, akianza hayo makelele yake we jifanye kama hakuna kinachoendelea😅

Kama ni kamluzi Kako anza kukapiga taratibu huku unaimba ka wimbo ka madilu system. Amini ataacha makelele kbs! Na wewe punguza usimbe! Utapeleka maradhi nyumbani
 
We ndo umelea tatizo,kwa nini usimrudishe kwao kwanza.
Kitendo cha mwanamke kufata watu na kugombana nao uo ni utovu wa nidhamu,otherwise unaishi na mtoto mwenzio
 
I second You
 
Samahan sio kwa ubaya... Upo kwenye ndoa? If Yes ndoa yako ina muda gani?
 

Kwa upande wangu huwa naamini ni mwanaume dhaifu ndio huwa anapelekeshwa na mwanamke.

Hivi kweli nyumba ujenge wewe, mwanamke umuoe wewe. Alafu akunyime amani ya nyumba yako[emoji706]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…