Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Sio sana ila ameanza kugundulika[emoji2][emoji2]Huchepuki sana nimeishia hapo, yeye je anakuzidi kete sekta hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio sana ila ameanza kugundulika[emoji2][emoji2]Huchepuki sana nimeishia hapo, yeye je anakuzidi kete sekta hii
Kosa kubwaSio sana ila ameanza kugundulika[emoji2][emoji2]
Hao inatakiwa uishi nao kwa akili,ukisema uache huyo unaweza kupata kimeo mpaka ukaona afadhali yule uliemuacha,wana tabia kama zinafanana,na hata kama zinatofauti basi ni kidogo sana...Ndoa hizi zitatuua.Jamani ipo hivi .Mimi ni mme mwenye mke mmoja na mtoto mmoja.Mke huyu tumetoka nae mbali tulianza nae mwaka 2008. Changamoto aliyo nayo ni kelele na wivu uliopitiliza yani sina amani ndani akianza kuongea hamalizi .
Kiufupi tabia yangu niyakawaida sichepuki sana. Sasa juzi hapa kafanya kituko nimetoka mapema asubuhi kumbe huku nyuma kafanya vurugu kwa majirani yupo mama mmoja ni msimbe sasa mke wangu anahofia kuwa natembea nae .
Kiukweli huyu mama hata sijawahi kumtongoza ila mke wangu anamuhofia bure.Hili jambo linanipakero sana.
Mungu kajaria tumejenga sasa kila siku ananitisha kwamba tutauza nyumba tugawane.
Vurugu ikizidi sana hii ndoa itakuja kufa bora kuanza upya kuliko kuishi bila amani.
Hivi wadau mnaishije na aina hii ya wanawake. Ninachangamoto sana yani hapa nimekaa juu ya jiwe kijiweni nawaza namna ya kurudi nyumbani maana nikifika tu ni kelele.
Nawasilisha wakuu.
sasa huchepuki sana maanake nini? wewe umeoa hutakiwi kuchepuka kabisaNdoa hizi zitatuua.Jamani ipo hivi .Mimi ni mme mwenye mke mmoja na mtoto mmoja.Mke huyu tumetoka nae mbali tulianza nae mwaka 2008. Changamoto aliyo nayo ni kelele na wivu uliopitiliza yani sina amani ndani akianza kuongea hamalizi .
Kiufupi tabia yangu niyakawaida sichepuki sana. Sasa juzi hapa kafanya kituko nimetoka mapema asubuhi kumbe huku nyuma kafanya vurugu kwa majirani yupo mama mmoja ni msimbe sasa mke wangu anahofia kuwa natembea nae .
Kiukweli huyu mama hata sijawahi kumtongoza ila mke wangu anamuhofia bure.Hili jambo linanipakero sana.
Mungu kajaria tumejenga sasa kila siku ananitisha kwamba tutauza nyumba tugawane.
Vurugu ikizidi sana hii ndoa itakuja kufa bora kuanza upya kuliko kuishi bila amani.
Hivi wadau mnaishije na aina hii ya wanawake. Ninachangamoto sana yani hapa nimekaa juu ya jiwe kijiweni nawaza namna ya kurudi nyumbani maana nikifika tu ni kelele.
Nawasilisha wakuu.
Upuuzi mtupu ..Sasa kuna faida gani ya kuoa halafu unaogopa kurudi nyumbani kisa mkeo ana kelele na pia unachepuka?
Nyumba ya kwako, mke wa kwako tena umemtolea mahari halafu unaogopa kurudi nyumbani😁😁😁😁😁😁
Wapo wengi mbona?Kuna Mwanaume ambaye hachepuki?
wala hatamani kuchepuka?
Tupo mkuu swala la kuchepuka sio mpaka uwe na mwanamke mwaminifu lahasha ni swala la kiroho kidogo, swala hapa ni kuwa na hofu ya Mungu ndiyo itakufanya usichepuke kabisa, ukijua dhambi ya uzinzi ni upotofu na humchukiza Mungu unaacha na inawezekana kabisa, mmeambiwa ombeni msiingie majaribuni sio kama hutamani kuchepuka hapana unatamani ila kwa kuwa unaomba Mungu kuvishinda vishawishi basi inakua rahisiKuna Mwanaume ambaye hachepuki?
wala hatamani kuchepuka?
Ukishagundua una mke wa namna hiyo punguza kumpa attention, akianza hayo makelele yake we jifanye kama hakuna kinachoendelea😅Ndoa hizi zitatuua.Jamani ipo hivi .Mimi ni mme mwenye mke mmoja na mtoto mmoja.Mke huyu tumetoka nae mbali tulianza nae mwaka 2008. Changamoto aliyo nayo ni kelele na wivu uliopitiliza yani sina amani ndani akianza kuongea hamalizi .
Kiufupi tabia yangu niyakawaida sichepuki sana. Sasa juzi hapa kafanya kituko nimetoka mapema asubuhi kumbe huku nyuma kafanya vurugu kwa majirani yupo mama mmoja ni msimbe sasa mke wangu anahofia kuwa natembea nae .
Kiukweli huyu mama hata sijawahi kumtongoza ila mke wangu anamuhofia bure.Hili jambo linanipakero sana.
Mungu kajaria tumejenga sasa kila siku ananitisha kwamba tutauza nyumba tugawane.
Vurugu ikizidi sana hii ndoa itakuja kufa bora kuanza upya kuliko kuishi bila amani.
Hivi wadau mnaishije na aina hii ya wanawake. Ninachangamoto sana yani hapa nimekaa juu ya jiwe kijiweni nawaza namna ya kurudi nyumbani maana nikifika tu ni kelele.
Nawasilisha wakuu.
Au sio, mkeo ukichapiwa unaanza kidondosha machozi, ishi kisafi acha mikumbo hakuna haja ya kuwa mzinzi na wala sio ujanjaPata faraja nje huko nyumbani njoo kulala tu
Ukichapiwa unaenda kuchapa nje maisha hayahitaji stressAu sio, mkeo ukichapiwa unaanza kidondosha machozi, ishi kisafi acha mikumbo hakuna haja ya kuwa mzinzi na wala sio ujanja
Yamekukuta nini mkuuUkichapiwa unaenda kuchapa nje maisha hayahitaji stress
I second YouPole sana. Ndoa imekuwa jehanamu kwa wengi, ila na wewe tayari umekubaliana na hali, mkeo kashakusoma madhaifu yako na kubadilisha hio kitu inahitaji wewe mwenyewe ubadilike ndo na yeye afuate. Sijui nini chanzo ila kama unataka amani inabidi uianzishe wewe, only you can change it, jifanye mjinga kW muda, usimkaripie wala kumjibu huo ndo uanamme sio kukimbia na kulialia. Kutafta mwanamke mwingine utazingua, kama mmedumu toka 2008 means mnajuana vizuri, work it through bro.
Samahan sio kwa ubaya... Upo kwenye ndoa? If Yes ndoa yako ina muda gani?Hakuna mke wa kukufanyia timbwili hotelini Kaka, kwanza ataanzia wapi?
Imagine umemwambia ajiandae Kwa mtoko wa usiku
Baada ya masaa mawili ya kujiandaa mnaita Uber/bolt inawapeleka Samakisamaki ambapo mnaagiza chakula/Vinywaji huku unamsifia jinsi alivyopendeza
Mnatoka mnacheza mziki kidogo
Ataanzia wapi kaka
Ndoa hizi zitatuua.Jamani ipo hivi .Mimi ni mme mwenye mke mmoja na mtoto mmoja.Mke huyu tumetoka nae mbali tulianza nae mwaka 2008. Changamoto aliyo nayo ni kelele na wivu uliopitiliza yani sina amani ndani akianza kuongea hamalizi .