Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
hahahahahahaha Heaven on earth hata za mtaani zina vunjikaga hivi. M i naona huyu jamaa inabidi tumuandalie file la mashitaka kwa kukupotezea muda unaonaje? nili angalau upate pesa ya kununua kijoti ujifariji. daaa ndoa ngumu bora unge niomba ushauri mimi nilijua toka mwanzo.
DAAA ndoa yangu na my akanana Passion Lady ina dunda tuu huku shem Lady doctor na Heaven on earth wakizikimbia za kwao na waonea huruma sana, msubiri mimi na my akanana tuongeze watoto waje wawaoe. poleni mashem wangu.
hahaaa washindwe na ........
malizia mwenyewe
Kaizer nikisahau ile kitu ntakumbuka nini tena mie!!karibu sana usisahau ile makitu Heaven on earth
Ningeshangaaa Heaven on earth
​anajua sana tena yeye ndio alinichagulia!!
Chit chat ifutwe inatushushia heshima waheshimiwa.
Chit chat ifutwe inatushushia heshima waheshimiwa.
Chit chat ifutwe inatushushia heshima waheshimiwa.
Mtoto halali na hela kama inamshushia heshimausiingie huku tena