Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
Kwani anachosema UNDENIABLE ni kweli Heaven on earth
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha tu! nahisi nimpenda mrembo asiejua nn maana ya kupendwa!
kwamba wewe na undeniable mli do ze nidiful?:A S-key:
ndugu yangu kweli nimeamini msemo wa "expect the unexpected"
kabisaa, pole!
^^
So painful jamani..
Basi niwatakieni kila la baraka.
Msitunze visasi maana nyie sio wa kwanza kuachana wala hamtakuwa wa mwisho.
I hate it I hate it bt kwa kuwa maziwa yamemwagika,
GOD BLESS YOU
cc: UNDENIABLE Heaven on earth
^^
ilikuwa past sa hivi am looking forwad!!!!
Kaizer mkeo je!!Basi njoo kwangu Kibaigwa upumzike kidogo Heaven on earth gharama zote zitakuwa juu yangu.....
Ninge shngaa ndoa mabayo haikufata taratibu idumu.
hahaaa Ruttashobolwa umenichekeshaje jamani
nime imagine ile real life ya watu wanaokimbiaga kuolewa.......
DAAA ndoa yangu na my akanana Passion Lady ina dunda tuu huku shem Lady doctor na Heaven on earth wakizikimbia za kwao na waonea huruma sana, msubiri mimi na my akanana tuongeze watoto waje wawaoe. poleni mashem wangu.