Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Kweli hapa umenena, kila la kheri Himidini
sa si turudi kama zamani!!!!!:love::love:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli hapa umenena, kila la kheri Himidini
kupita sio tatizo sa utapita lini!!
halafu akishakwambia!!!!
am watching you tuu
sa si turudi kama zamani!!!!!:love::love:
sogea sogea ufike hata hapo mikumi
ukatulie kwenye hoteli kule mbugani
upate akili mpya.
polepole, mmmhhh kumbe talaka inauma hv!mwambie maana naona kama ana kiherehere.
polepole, mmmhhh kumbe talaka inauma hv!
hee kweli? nibusu basi!
kupita sio tatizo sa utapita lini!!
mwambie maana naona kama ana kiherehere.
subiri subiri kidogo, nitakwambia!
^^
Wote waliokuchomea moto wamemaliza kazi yao,,wame log out,,umemwachia jeraha UNDENIABLE real love comes once a year,,kiukweli Heaven on earth ulipendwaaa,,mwanaume ni kama jiko la mkaa huteketea ukimuacha kwenye upepo..umetupa moyo ulokuthamini.
Ngoja nisubiri pengine UNDENIABLE atapata ataempenda.

naona kama kuna kitu kizuri kitahappen
I hope my instincts are right
Mabwaku!
kweli tupu mkuu, kumpenda jamani nilimpenda ila sasa kanivuruga kabisaaaaaaaaaaaaa sina hamu!
heeee mwenzio was just a chit chat
ila napo nimepigwa ya ukweli kweli kwa ajili ya ule uzi nilioanza wa Bishanga
but bado ni ok.