Ndoa imevunjika! Popote ulipo heaven on earth pata hii taarifa!

Ndoa imevunjika! Popote ulipo heaven on earth pata hii taarifa!

Sijambo mwaya
Bado nasoma maneno uliyoyaandikwa kwenye ile karatasi ya talaka
eti umenichoka, sijui ulinichoka wapi.

Nipo tu.

Bado tuu unasoma hyo maneno
Hebu tupa kule anza kuwazia namna ya kuendelea na maisha hata kuwa nyumba ndogo ya Himidini au ya Mr Rocky au ya Baba V
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky kurudiana tena itakuwa
siyo nzuri, mimi naendelea kukuombea tu
ili utulie na familia yako halisi.
Heaven on earth sidhani wala kama yalikuwa makali kihivyo ila yale ya kawaida tena mwishoni imeandikwa in case of any negotiation we may rescind this decision so asiwe na wasiwasi tunaweza jikuta tunerudi back to square one
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi naamini ya kwangu ilikuwa na maneno matamu sana ni wewe tuu hujaisoma yaani hujaona haya yale kuwa we may take back our vow in case of any negotiation au hujaona kwa kuwa imeandikwa na wino mwekundu ukaogopa kusoma
 
Last edited by a moderator:
Heaven on earth sidhani wala kama yalikuwa makali kihivyo ila yale ya kawaida tena mwishoni imeandikwa in case of any negotiation we may rescind this decision so asiwe na wasiwasi tunaweza jikuta tunerudi back to square one

he kumbe alipewa hata chance ya negotiation
Mamndenyi uliona hayo maneno ya mwisho
kwenye divorce!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom