Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
nimeanza kusonga,kama ilikuwa safari ya
dar to mby basi sa hivi niko chalinze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
he kumbe alipewa hata chance ya negotiation
Mamndenyi uliona hayo maneno ya mwisho
kwenye divorce!!!!!
^^
Shem umeharibu,,nimejaribu kukutetea nimekwama,,mi
Niko airport nakata tiketi,,nimfuate mahabuba Queen Kan
^^
Duuuu inaonekana na wewe upo single unatafuta kampan! hapa hupati kampan maana ataolewa soon! yako macho!
Heaven on earth hakusoma ule talaka kwa ajili ya machungu ila hata hivyo ilikuwa for specific period of time maana si unajua offer huwa ina lapse after certain period of time
Heaven on earth hakusoma ule talaka kwa ajili ya machungu ila hata hivyo ilikuwa for specific period of time maana si unajua offer huwa ina lapse after certain period of time
hata si mwanzoni ilikuwa hivi hivi!!!!!!
mie nawatakia kila la kheri,yasiwakute kama
yangu na UNDENIABLE
Duuuu inaonekana na wewe upo single unatafuta kampan! hapa hupati kampan maana ataolewa soon! yako macho!
Mr Rocky msimu mbaya kwangu....Mkuu Himidini humu CC kuna msimu wa talaka na msimu wa kupenda na ndoa naona msimu huu vimechanganya ndoa na talaka maana wewe na Arushaone mnaingia kwenye ndoa wakati Heaven on earth analimwa talaka
Mkuu Himidini humu CC kuna msimu wa talaka na msimu wa kupenda na ndoa naona msimu huu vimechanganya ndoa na talaka maana wewe na Arushaone mnaingia kwenye ndoa wakati Heaven on earth analimwa talaka
nimeanza kusonga,kama ilikuwa safari ya
dar to mby basi sa hivi niko chalinze
he kumbe alipewa hata chance ya negotiation
Mamndenyi uliona hayo maneno ya mwisho
kwenye divorce!!!!!
aku wala sipo singo wala sitaki kampani mwanya
kwani hatuogopi talaka za kila siku.
Mr Rocky msimu mbaya kwangu....Mkuu Himidini humu CC kuna msimu wa talaka na msimu wa kupenda na ndoa naona msimu huu vimechanganya ndoa na talaka maana wewe na Arushaone mnaingia kwenye ndoa wakati Heaven on earth analimwa talaka
kwan umewahi kupigwa talaka mara ngapi? sina kumbukumbu!
pole, ni upepo tu! utapita!
source: jk
kwan umewahi kupigwa talaka mara ngapi? sina kumbukumbu!
basi, maana she is watching me!unataka kufanya sensa?