Ndoa imevunjika! Popote ulipo heaven on earth pata hii taarifa!

^^
BACK to A SERIOUS TABLE
Heaven on earth AND UNDENIABLE
Naomba sana Kakangu Undeniable umsamehe asali wa moyo wako.
..
Najua itakuwa ngumu kwako,
Kuyasahau alotenda kwako,
Moyo wako umejaa simanzi,
Unaumia kulikosa lake penzi,
Kumbuka Mungu husamehe,
Hata sisi inatubidi tusamehe,
Kutenda kosa sio kosa Undeni,
Fanya upesi umuweke ndani,
Huko nje wenye choyo wengi,
Amejifunza mpe ya mwisho nafasi,
Ukiamua kumsamehe rafiki,
Ujue kwamba umeokoa maisha yake.
^^
 
Last edited by a moderator:

Hata nikipishana nae nahisi nitaanza kulia kama mtoto mdogo vile! never back! never back! never back! i must keep the promise of the decision!

Ahsante sana Himidini kwa wisdom yako!
 
UNDENIABLE
Naelewa hali uliyonayo,I know how you feel bt remember the first promise you made was to make her "FOREVER YOURS"
Kumbuka mkono ukikosea haukatwi Unasafishwa.
Calm down,,take it slow

hapana mkuu, kanitenda sana na nimejitahidi sana kumvumilia lakn wapi! acha aende tu!
 
nikuambie jambo Mkuu? All women are from one mother.
Hata ukipata mwingine utapata different name,same problem.
Ndege umjuae ni bora kuliko usomjua.
Hope Heaven on earth amejutia kosa lake na better off kuliko angeuchuna.
Last chance is not an offence

Siwezi tena kumpenda, nitakuwa namdanganya tu! sasa si bora aende zake nami nibaki peke yangu!
 
^^
nikuambie jambo Mkuu? All women are from one mother.
Hata ukipata mwingine utapata different name,same problem.
Ndege umjuae ni bora kuliko usomjua.
Hope Heaven on earth amejutia kosa lake na better off kuliko angeuchuna.
Last chance is not an offence
^^
Ngoja nikukumbushe jambo!
Unakumbuka waliwahi kurushiana maneno na wanaume kadhaa huko celebrity hadi akakamatwa na polisi wa jf na kuwekwa ndani siku kadhaa, mm nikajitoa mhanga nikachukua gobore langu nikatimba central ya jf nikawaambia wamwachie mke wangu kwa kuwa alikuwa anajihami baada ya kushambuliwa, na kweli wakamwachia! Unakumbuka!

unakumbuka niliwahi kumfumania akimwambia Lady doctor eti mm nimejihalalishia peke yangu! eti mlango upo huru kwa figganigga mzee wa mia! akaniomba msamaha nikamsamehe!

Sasa jana tena kaja alikokuwa amefichwa! katika pitapita zangu nikamfuma tena akimwambia shosti yake @dysminder1 eti alikuwa amefichwa sehemu kwa ajili ya kuvunja jungu na ameachwa kwa ajili ya mfungo! wakati mm nipo kwa bibi huko sitimbi nahangaika kumtafuta, nimehangaika sana lakn hiyo ndio thawabu niliyopata!

Nionee huruma Himidini na mm jamani nina moyo wa nyama, naumia kwa matendo yote ninayofanyiwa! mm ni binadamu kama nae alivyo binadamu!

NENDA MAMAA! NENDA SALAMA! KILA LA KHERI MAMAA!
 
jamani nashukuru kwa jitihada zako na busara zako
ingawa zimegonga mwamba!!!!

ubarikiwe Himidini
 
sawa UNDENIABLE namalizia kupack mizigo yangu
 
Loo! Kumbe tena.
^^
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom