The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 880
- 1,985
Wazee wamenikalisha kikao, wameniambia nifunge ndoa ..
Ila Sasa Mimi, ni team Kataa ndoa pia Mimi ni Atheist 😔 ( siamini kwenye hayo mambo ya ndoa Wala Mungu)Yani Sina mpango wa kuoa for my lifetime. Ila Sasa wazee ndio wamekomaa balaa , Yani familia imewasha moto kuhusu swala la kufunga ndoa
Nipo njiapanda, nafikiria nifunge ndoa kinafki Ili kuwalizisha
au niwakatae mazima.. Nifanye ninavyo taka Mimi.. Ila Nina watoto wawili mama tofauti,
Au Kuna faida nzuri kwenye ndoa huko ?
Nifanyaje?