Ndoa ina faida gani ?

Ndoa ina faida gani ?

Unakuwa umebanwa sana na memsaheeb.Hata jana tu nilikuwa nimekaa "Kidimbwini" nikawa najiuliza nirudi nyumbani au nisirudi!?Nilivyokumbuka kwamba kuna mtu anapigapiga simu nirudi,nikarudi kinyoooongeee!
Katika vitu huwa naachwa kwenye mahusiano ni mwanamke awe ananiganda mara upo wap mara simu za kila mara mara nahisi unanisaliti hayo mambo huwa sitakagi kuyasikia kabisa naona kma nauza uhuru wangu.😁😁😁
 
Wazee wamenikalisha kikao, wameniambia nifunge ndoa ..

Ila Sasa Mimi, ni team Kataa ndoa pia Mimi ni Atheist ( siamini kwenye hayo mambo ya ndoa Wala Mungu)Yani Sina mpango wa kuoa for my lifetime. Ila Sasa wazee ndio wamekomaa balaa , Yani familia imewasha moto kuhusu swala la kufunga ndoa

Nipo njiapanda, nafikiria nifunge ndoa kinafki Ili kuwalizisha
au niwakatae mazima.. Nifanye ninavyo taka Mimi.. Ila Nina watoto wawili mama tofauti,

Au Kuna faida nzuri kwenye ndoa huko ?

Nifanyaje?
Faida kubwa ya Ndoa ni ujenzi wa familia bora, hao wanao ulowazaa watapata malezi ya upande 1, jambo ambalo huenda likaathiri makuzi yao direct.
 
Katika vitu huwa naachwa kwenye mahusiano ni mwanamke awe ananiganda mara upo wap mara simu za kila mara mara nahisi unanisaliti hayo mambo huwa sitakagi kuyasikia kabisa naona kma nauza uhuru wangu.😁😁😁
Wanawake waliopo kwenye ndoa ni zaidi ya wanajeshi vitani.Kila muda wanatwaa darubini/binoculars zao na kuchekicheki ushwari au rabsha uwanja wa vita.
 
nafikiria nifunge ndoa kinafki Ili kuwalizisha
Kuwalizisha ≠ kuwaridhisha. All in all, never try that my dear brother. Hiyo inaweza ikakugharimu maisha yako yote. Trust me. Ndoa ilikuwa ni sacred institution zamani ila kwa sasa ni sehemu ya mwanamke kujichumia mali za mwanaume.

Kaa kwanza na mwanamke muishi hata 5 years kisha ndio ufunge naye ndoa.
 
Wanawake waliopo kwenye ndoa ni zaidi ya wanajeshi vitani.Kila muda wanatwaa darubini/binoculars zao na kuchekicheki ushwari au rabsha uwanja wa vita.
Nilikuwepo huko mkuu nawajua vizuri ?, upo zako viti virefu unakunywa bia kwa wasiwasi kama unaoga nnje, ukimaliza unatafuna majani ili harufu itoke 😁😁😁
 
Wazee wamenikalisha kikao, wameniambia nifunge ndoa ..

Ila Sasa Mimi, ni team Kataa ndoa pia Mimi ni Atheist 😔 ( siamini kwenye hayo mambo ya ndoa Wala Mungu)Yani Sina mpango wa kuoa for my lifetime. Ila Sasa wazee ndio wamekomaa balaa , Yani familia imewasha moto kuhusu swala la kufunga ndoa

Nipo njiapanda, nafikiria nifunge ndoa kinafki Ili kuwalizisha
au niwakatae mazima.. Nifanye ninavyo taka Mimi.. Ila Nina watoto wawili mama tofauti,

Au Kuna faida nzuri kwenye ndoa huko ?

Nifanyaje?
Simple, waulize hao wazee hilo swali haiwezekani wakukomalie kwa kitu kisichokuwa na faida.
 
Nilikuwepo huko mkuu nawajua vizuri ?, upo zako viti virefu unakunywa bia kwa wasiwasi kama unaoga nnje, ukimaliza unatafuna majani ili harufu itoke 😁😁😁
Huwa tunakuwa mashujaa kwenye mambo mengine tu.Tukisikia habari za wake zetu tunanywea ile ngumu.Hana uwezo wa kukupiga wala chochote lakini we are in for it!
 
Wazee wamenikalisha kikao, wameniambia nifunge ndoa ..

Ila Sasa Mimi, ni team Kataa ndoa pia Mimi ni Atheist 😔 ( siamini kwenye hayo mambo ya ndoa Wala Mungu)Yani Sina mpango wa kuoa for my lifetime. Ila Sasa wazee ndio wamekomaa balaa , Yani familia imewasha moto kuhusu swala la kufunga ndoa

Nipo njiapanda, nafikiria nifunge ndoa kinafki Ili kuwalizisha
au niwakatae mazima.. Nifanye ninavyo taka Mimi.. Ila Nina watoto wawili mama tofauti,

Au Kuna faida nzuri kwenye ndoa huko ?

Nifanyaje?
Ukifika 45+ utajua faida yake na ukidharau utaona madhara yake.
 
Wazee wamenikalisha kikao, wameniambia nifunge ndoa ..

Ila Sasa Mimi, ni team Kataa ndoa pia Mimi ni Atheist 😔 ( siamini kwenye hayo mambo ya ndoa Wala Mungu)Yani Sina mpango wa kuoa for my lifetime. Ila Sasa wazee ndio wamekomaa balaa , Yani familia imewasha moto kuhusu swala la kufunga ndoa

Nipo njiapanda, nafikiria nifunge ndoa kinafki Ili kuwalizisha
au niwakatae mazima.. Nifanye ninavyo taka Mimi.. Ila Nina watoto wawili mama tofauti,

Au Kuna faida nzuri kwenye ndoa huko ?

Nifanyaje?
Umemkataa Mungu unashindwaje kuwakatalia hao binadamu?.
Mirembe wanatoa huduma kwa wagonjwawanaoonekana wapo smart kwa mavazi.
 
Back
Top Bottom