min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Katika vitu huwa naachwa kwenye mahusiano ni mwanamke awe ananiganda mara upo wap mara simu za kila mara mara nahisi unanisaliti hayo mambo huwa sitakagi kuyasikia kabisa naona kma nauza uhuru wangu.😁😁😁Unakuwa umebanwa sana na memsaheeb.Hata jana tu nilikuwa nimekaa "Kidimbwini" nikawa najiuliza nirudi nyumbani au nisirudi!?Nilivyokumbuka kwamba kuna mtu anapigapiga simu nirudi,nikarudi kinyoooongeee!