The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 880
- 1,985
- Thread starter
- #61
Sasa wazazi unafikiri wataelewa hii mambo ya Atheist, wazee wa miaka 50 iliyo pitaWaeleze wazee wako kuwa wewe huamini MUNGU na hutaki kuoa achana na maigizo. Kama una hoja za msingi maigizo ya nini?