Ndoa ina faida gani ?

Ndoa ina faida gani ?

Wazee wamenikalisha kikao, wameniambia nifunge ndoa ..

Ila Sasa Mimi, ni team Kataa ndoa pia Mimi ni Atheist 😔 ( siamini kwenye hayo mambo ya ndoa Wala Mungu)Yani Sina mpango wa kuoa for my lifetime. Ila Sasa wazee ndio wamekomaa balaa , Yani familia imewasha moto kuhusu swala la kufunga ndoa

Nipo njiapanda, nafikiria nifunge ndoa kinafki Ili kuwalizisha
au niwakatae mazima.. Nifanye ninavyo taka Mimi.. Ila Nina watoto wawili mama tofauti,

Au Kuna faida nzuri kwenye ndoa huko ?

Nifanyaje?
Kwanza wewe waona vyema kuwa na watoto 2 mama tofauti na bado?
 
Ndoa ni taasisi ambayo kupitia kwayo familia imara huanzishwa na kuendelezwa. Na familia imara ndiyo msingi wa jamii imara. Ndiyo maana ndoa na familia (ya mke na mume) vinashambuliwa sana maana ukitaka kuangamiza jamii basi haribu taasisi ya ndoa na familia.

Ndoa ni ya muhimu sana ndiyo maana ikaitwa ni takatifu; maana ilianzishwa na Mungu mwenyewe! 🙏🏿
Thibitisha kwanza kama Mungu yupo - Kiranga
 
Naam,

Kabla ya kufika mbali sana tumalize ngwe hiyo kwanza.
Well, I don't believe that heaven waits for only those who congregate
I like to think of God as love
He's down below, He's up above
He's watching people everywhere
He knows who does and doesn't care - Don Williams
 
Wazee wamenikalisha kikao, wameniambia nifunge ndoa ..

Ila Sasa Mimi, ni team Kataa ndoa pia Mimi ni Atheist 😔 ( siamini kwenye hayo mambo ya ndoa Wala Mungu)Yani Sina mpango wa kuoa for my lifetime. Ila Sasa wazee ndio wamekomaa balaa , Yani familia imewasha moto kuhusu swala la kufunga ndoa

Nipo njiapanda, nafikiria nifunge ndoa kinafki Ili kuwalizisha
au niwakatae mazima.. Nifanye ninavyo taka Mimi.. Ila Nina watoto wawili mama tofauti,

Au Kuna faida nzuri kwenye ndoa huko ?

Nifanyaje?
Ungewauliza wanaokulazimisha
 
Back
Top Bottom