The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 880
- 1,985
Kufanya tu mwanaume afe mapema. Mapadre hawaoi, wanaishi miaka mingi sanaWazee wamenikalisha kikao, wameniambia nifunge ndoa ..
Ila Sasa Mimi, ni team Kataa ndoa pia Mimi ni Atheist π ( siamini kwenye hayo mambo ya ndoa Wala Mungu)Yani Sina mpango wa kuoa for my lifetime. Ila Sasa wazee ndio wamekomaa balaa , Yani familia imewasha moto kuhusu swala la kufunga ndoa
Nipo njiapanda, nafikiria nifunge ndoa kinafki Ili kuwalizisha
au niwakatae mazima.. Nifanye ninavyo taka Mimi.. Ila Nina watoto wawili mama tofauti,
Au Kuna faida nzuri kwenye ndoa huko ?
Nifanyaje?
Wee bwege nini? Mbona unakuwa kama teenager??!! Mwanaune ni yuke mwenye msimamo. Wee usiyumbishwe na wazazi maana wao hawataishi na huyo mwanamkeWazee wamenikalisha kikao, wameniambia nifunge ndoa ..
Ila Sasa Mimi, ni team Kataa ndoa pia Mimi ni Atheist π ( siamini kwenye hayo mambo ya ndoa Wala Mungu)Yani Sina mpango wa kuoa for my lifetime. Ila Sasa wazee ndio wamekomaa balaa , Yani familia imewasha moto kuhusu swala la kufunga ndoa
Nipo njiapanda, nafikiria nifunge ndoa kinafki Ili kuwalizisha
au niwakatae mazima.. Nifanye ninavyo taka Mimi.. Ila Nina watoto wawili mama tofauti,
Au Kuna faida nzuri kwenye ndoa huko ?
Nifanyaje?
Kwanza unajua maana ya ndoa!? NDOA ni NINI..!? kabla hujataka kujua faida la kwanza ujue NDOA NI NINIπWazee wamenikalisha kikao, wameniambia nifunge ndoa ..
Ila Sasa Mimi, ni team Kataa ndoa pia Mimi ni Atheist π ( siamini kwenye hayo mambo ya ndoa Wala Mungu)Yani Sina mpango wa kuoa for my lifetime. Ila Sasa wazee ndio wamekomaa balaa , Yani familia imewasha moto kuhusu swala la kufunga ndoa
Nipo njiapanda, nafikiria nifunge ndoa kinafki Ili kuwalizisha
au niwakatae mazima.. Nifanye ninavyo taka Mimi.. Ila Nina watoto wawili mama tofauti,
Au Kuna faida nzuri kwenye ndoa huko ?
Nifanyaje?
Wazee wamenikalisha kikao, wameniambia nifunge ndoa ..
Ila Sasa Mimi, ni team Kataa ndoa pia Mimi ni Atheist π ( siamini kwenye hayo mambo ya ndoa Wala Mungu)Yani Sina mpango wa kuoa for my lifetime. Ila Sasa wazee ndio wamekomaa balaa , Yani familia imewasha moto kuhusu swala la kufunga ndoa
Nipo njiapanda, nafikiria nifunge ndoa kinafki Ili kuwalizisha
au niwakatae mazima.. Nifanye ninavyo taka Mimi.. Ila Nina watoto wawili mama tofauti,
Au Kuna faida nzuri kwenye ndoa huko ?
Nifanyaje?
Kwamba usipo kua na ndoa hauwezi kuwa mwanaume?Fainali uzeeni ,halafu raha ya maisha ni misukosuko ya hapa na pale kupata experience ya maisha mengine,kuwa na kampuni unayoongoza hata kama uko ulipo unaongozwa sasa wewe utakuwa mwanaume wa namna gani hata kuoa utaki ,wewe sio mwanaume ni something else jichunguze .Raha ya kuwa mwanaume ni kukabiliana na kila kitu regardless what?
You are a social being and threfre a product of a society. A well think member of a society ought to abide by the societal norms, values and the like!Wazee wamenikalisha kikao, wameniambia nifunge ndoa ..
Ila Sasa Mimi, ni team Kataa ndoa pia Mimi ni Atheist π ( siamini kwenye hayo mambo ya ndoa Wala Mungu)Yani Sina mpango wa kuoa for my lifetime. Ila Sasa wazee ndio wamekomaa balaa , Yani familia imewasha moto kuhusu swala la kufunga ndoa
Nipo njiapanda, nafikiria nifunge ndoa kinafki Ili kuwalizisha
au niwakatae mazima.. Nifanye ninavyo taka Mimi.. Ila Nina watoto wawili mama tofauti,
Au Kuna faida nzuri kwenye ndoa huko ?
Nifanyaje?
Achana nao wanakusumbua tu.Hamia mbali ule life mwayego.Wazee wamenikalisha kikao, wameniambia nifunge ndoa ..
Ila Sasa Mimi, ni team Kataa ndoa pia Mimi ni Atheist π ( siamini kwenye hayo mambo ya ndoa Wala Mungu)Yani Sina mpango wa kuoa for my lifetime. Ila Sasa wazee ndio wamekomaa balaa , Yani familia imewasha moto kuhusu swala la kufunga ndoa
Nipo njiapanda, nafikiria nifunge ndoa kinafki Ili kuwalizisha
au niwakatae mazima.. Nifanye ninavyo taka Mimi.. Ila Nina watoto wawili mama tofauti,
Au Kuna faida nzuri kwenye ndoa huko ?
Nifanyaje?
Mkuu kwani ukiwa na ndoa hauwezi kula life mwayego?Achana nao wanakusumbua tu.Hamia mbali ule life mwayego.
Unakuwa umebanwa sana na memsaheeb.Hata jana tu nilikuwa nimekaa "Kidimbwini" nikawa najiuliza nirudi nyumbani au nisirudi!?Nilivyokumbuka kwamba kuna mtu anapigapiga simu nirudi,nikarudi kinyoooongeee!Mkuu kwani ukiwa na ndoa hauwezi kula life mwayego?