Ndoa inanishinda, naomba mnishauri kisheria

Mama hadi wewe humpendi mama mkwe?
Sijamaanisha simpendi mama mkwe.... Nina shuhuda za ndoa nyingi zenye migogoro inayosababishwa na mama mkwe pamoja na mawifi...... Kuna wamama wako vizuri sanaaa ila wengine hiiiiiiiiiiii utajutaaa
 
I agree with you...kuna mama wakwe ni vichomi sana...wanapenda kuendesha ndoa za watoto wao.
Kabisaaaaa tena ukute mama mkwe alishamchagua binti wa kuolewa na mwanawe halafu asimuoe yule uolewe wewe figisu zake sio za dunia hii....
 
Nashindwa kuelewa. Yaani mko vizuri tu, nyumbani unatoa mahitaji ya familia kadri ya kipato chako kwa uwazi! Halafu mke aamke asubuhi aende kazini kwako adai nusu mshahara? Utakuwa umeoa kichaa au unashida wewe.
 
Sijamaanisha simpendi mama mkwe.... Nina shuhuda za ndoa nyingi zenye migogoro inayosababishwa na mama mkwe pamoja na mawifi...... Kuna wamama wako vizuri sanaaa ila wengine hiiiiiiiiiiii utajutaaa
Sasa mama wewe si Kuna kozi ya kukabiliana na migogoro mahali pa kazi umeisoma,.. unashindwaje kuitumia kurekebisha mambo
 
Mkuu haya mambo ya migogoro ya ndoa Ninayoyashuhudia kwa marafiki hayanipi hamu kabisa ya kuoa...but ikitokea nimeoa mke wangu akaniambia kauli Kama ulivoambiwa..." Mama yako ni mke mwenza wangu" sijui sijui kitakachotokea.............
Tusi hilo siwezi kulivumilia
 
Sasa mama wewe si Kuna kozi ya kukabiliana na migogoro mahali pa kazi umeisoma,.. unashindwaje kuitumia kurekebisha mambo
My dear unaweza kuwa unakaa kimya kila siku bado ukaonekana una kiburi.... Ukisema uongee wewe ni mkaidi huna adabu.... Yaani kwa kifupi Kuna watu hawana jema....
 
Habari za jumapili wapendwa

Naomba niwatakie siku njema naomba mnishaur kwa upendo,pale nilipokosea au sijaeleweka niko tayar kutoa ufafanuzi pia matus ruksa
Naungana na comment no. 24 huna jinsi hapo. Pia inawezekama walitegemea upande wa wakwe utakuwa pia kitegauchumi fulani wamekuta sivyo, basi atakuwa amepatikana mtu sahihi wanaomtaka wao kwa malengo yao. Achana nae utaumia. hii niliiona kwa jirani yangu tabata baba mke akicheza game la kumhamisha binti yake.
 
My dear unaweza kuwa unakaa kimya kila siku bado ukaonekana una kiburi.... Ukisema uongee wewe ni mkaidi huna adabu.... Yaani kwa kifupi Kuna watu hawana jema....
Basi tutahamia New York, tutakuwa tunakuja kusalimia huku kwa magu
 
Inategemea na tabia za huyo mama mkwe... Aeleze mama yake ana shida gani na mkwewe.... Wakwe wa sikuhizi we wasikie tu
Bila kujali mama yangu amemuambia nini, ikitokea mwanamke akanitamkia kauli kama hiyo, hakika nitabadili maisha yake kwa namna ya kipekee sana!

In short, amemaanisha jamaa analala na mamaake pia!
 
Yaani acha, nina rafiki ameolewa kwasababu kijana alikazania kumuoa ni wale watu wameanza maisha pamoja mpaka wakafanikiwa....mama mkwe hakuwa amempenda kwasababu aliolewaga na mume wa kabila la huyo dada wakaachana na akamuachia watoto akalea...so hakutaka kijana aoe huko...huyo dada anateseka mpaka imefika mahali anawaza kuachana na mume...mama mkwe kahamia nyumbani na kila kitu cha familia ana control hadi nini kipikwe na kwenda sokoni...dada akivaa nguo pya mama mkwe anaitisha kikao kwamba mwali anafuja hela
Kabisaaaaa tena ukute mama mkwe alishamchagua binti wa kuolewa na mwanawe halafu asimuoe yule uolewe wewe figisu zake sio za dunia hii....
 
Mkuu mkeo na wewe ni kabila moja au mnatoka sehemu moja?

Naomba jibu mkuu!
 
Bila kujali mama yangu amemuambia nini, ikitokea mwanamke akanitamkia kauli kama hiyo, hakika nitabadili maisha yake kwa namna ya kipekee sana!

In short, amemaanisha jamaa analala na mamaake pia!
Ok
 
Unajua sioni sababu ya kuwa mwiba kwenye maisha ya mke wa mwanangu...kwanza ni kama binti yangu....naamin natakiwa kuwa mtu wa kwanza being there for them incase of anything iwe ni physically au spiritually. I am supposed to make sure they live happily together.
Na wewe utakuwa mama mkwe siku moja hahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…