Ndoa inanishinda, naomba mnishauri kisheria

Ndoa inanishinda, naomba mnishauri kisheria

Mama hadi wewe humpendi mama mkwe?
Sijamaanisha simpendi mama mkwe.... Nina shuhuda za ndoa nyingi zenye migogoro inayosababishwa na mama mkwe pamoja na mawifi...... Kuna wamama wako vizuri sanaaa ila wengine hiiiiiiiiiiii utajutaaa
 
I agree with you...kuna mama wakwe ni vichomi sana...wanapenda kuendesha ndoa za watoto wao.
Kabisaaaaa tena ukute mama mkwe alishamchagua binti wa kuolewa na mwanawe halafu asimuoe yule uolewe wewe figisu zake sio za dunia hii....
 
Kaka kutokana na migogoro mke wangu aliwahi fika kazin kwangu na kueleza uongo ili awe anapewa nusu mshahara, baada ya kupangua hilo na ofisi kuthibitisha kuwa sio kweli! Lakin pia nimekuwa nikitishiwa nae kwa atanikomoa hali ambayo imepwlekea nikae nae mbali lakin akiwa nyumban kwetu na huduma zote anapata lakin ammekuwa mtu wa kuendeleza ugomvi huku akilazimisha kukaa pamoja ambapo hapo cjaua anajiandaa kunikomoa kwa njia gan.Baada ya hapo nilifatilia ili nijue kaanzaje kufika kazin ndipo nilithibitisha kuwa ni maagizo ya wazaz wake ambapo wazaz wake niliingia mgogoro nao baada ya kukataa kuwanunulia viti yaani sofa kwan hawakutimiza makubaliano

Nashindwa kuelewa. Yaani mko vizuri tu, nyumbani unatoa mahitaji ya familia kadri ya kipato chako kwa uwazi! Halafu mke aamke asubuhi aende kazini kwako adai nusu mshahara? Utakuwa umeoa kichaa au unashida wewe.
 
Sijamaanisha simpendi mama mkwe.... Nina shuhuda za ndoa nyingi zenye migogoro inayosababishwa na mama mkwe pamoja na mawifi...... Kuna wamama wako vizuri sanaaa ila wengine hiiiiiiiiiiii utajutaaa
Sasa mama wewe si Kuna kozi ya kukabiliana na migogoro mahali pa kazi umeisoma,.. unashindwaje kuitumia kurekebisha mambo
 
Mkuu haya mambo ya migogoro ya ndoa Ninayoyashuhudia kwa marafiki hayanipi hamu kabisa ya kuoa...but ikitokea nimeoa mke wangu akaniambia kauli Kama ulivoambiwa..." Mama yako ni mke mwenza wangu" sijui sijui kitakachotokea.............
Tusi hilo siwezi kulivumilia
 
Sasa mama wewe si Kuna kozi ya kukabiliana na migogoro mahali pa kazi umeisoma,.. unashindwaje kuitumia kurekebisha mambo
My dear unaweza kuwa unakaa kimya kila siku bado ukaonekana una kiburi.... Ukisema uongee wewe ni mkaidi huna adabu.... Yaani kwa kifupi Kuna watu hawana jema....
 
Habari za jumapili wapendwa

Naomba niwatakie siku njema naomba mnishaur kwa upendo,pale nilipokosea au sijaeleweka niko tayar kutoa ufafanuzi pia matus ruksa
Naungana na comment no. 24 huna jinsi hapo. Pia inawezekama walitegemea upande wa wakwe utakuwa pia kitegauchumi fulani wamekuta sivyo, basi atakuwa amepatikana mtu sahihi wanaomtaka wao kwa malengo yao. Achana nae utaumia. hii niliiona kwa jirani yangu tabata baba mke akicheza game la kumhamisha binti yake.
 
My dear unaweza kuwa unakaa kimya kila siku bado ukaonekana una kiburi.... Ukisema uongee wewe ni mkaidi huna adabu.... Yaani kwa kifupi Kuna watu hawana jema....
Basi tutahamia New York, tutakuwa tunakuja kusalimia huku kwa magu
 
Inategemea na tabia za huyo mama mkwe... Aeleze mama yake ana shida gani na mkwewe.... Wakwe wa sikuhizi we wasikie tu
Bila kujali mama yangu amemuambia nini, ikitokea mwanamke akanitamkia kauli kama hiyo, hakika nitabadili maisha yake kwa namna ya kipekee sana!

In short, amemaanisha jamaa analala na mamaake pia!
 
Yaani acha, nina rafiki ameolewa kwasababu kijana alikazania kumuoa ni wale watu wameanza maisha pamoja mpaka wakafanikiwa....mama mkwe hakuwa amempenda kwasababu aliolewaga na mume wa kabila la huyo dada wakaachana na akamuachia watoto akalea...so hakutaka kijana aoe huko...huyo dada anateseka mpaka imefika mahali anawaza kuachana na mume...mama mkwe kahamia nyumbani na kila kitu cha familia ana control hadi nini kipikwe na kwenda sokoni...dada akivaa nguo pya mama mkwe anaitisha kikao kwamba mwali anafuja hela
Kabisaaaaa tena ukute mama mkwe alishamchagua binti wa kuolewa na mwanawe halafu asimuoe yule uolewe wewe figisu zake sio za dunia hii....
 
Habari za jumapili wapendwa
Hivi kunapotokea mgogoro baina ya wanandoa ambapo katika hiyo migogoro mke hapigwi wala hajatishiwa maisha,,baba mzaz wa mwanamke anaruhusiwa kwa utaratibu wa sheria ipi kunipeleka mahakaman mimi mume??
Pili baba mkwe anapomuhitaji binti yao lakin hasemi waz lengo wa kumuhitaj bint yao kama anavunja ndoa kabisa ama ana nia ya kwenda kumkanya mtoto wao wakati huo huo tuna watoto wadogo ambapo mimi kama baba wa familia sina iman na mazingira ambayo wataenda kuishi wanangu,naweza kutumia utaratibu gan wa kisheria wa ama wamchukue binti yao bila ya watoto yaani nibaki na watoto ili ataporud awakute watoto huku ninakoishi hapo izingatiwe kuna mtoto wa mwaka mmoja na miezi miwili??
Kutokana na migogoro hiyo ambapo wife amekuwa akinitishia kuwa atanikomoa kwa njia yoyote na ushahidi ninao hivo nililazimika kumuacha nyumbani kwetu na mimi kuishi mbali nae,lakin kila wiki huwa naenda kuwajulia hali na kupeleka mahitaji ,je naweza kushitakiwa kwa kosa gani hapo??
Mke wangu alitoa kauli kwamba mama yangu mzaz na yey ni kama mtu na mke mwenza,je naweza kumshitak kwa matusi hayo??
Baba mkwe amenipigia simu na kunitishia kwamba atakuja kuchukua familia yangu,,je akifanya hivo na mimi nikazuia yey kuondoka na watoto, ntakuwa na kosa lolote kisheria??
Naomba niwatakie siku njema naomba mnishaur kwa upendo,pale nilipokosea au sijaeleweka niko tayar kutoa ufafanuzi pia matus ruksa

Mkuu mkeo na wewe ni kabila moja au mnatoka sehemu moja?

Naomba jibu mkuu!
 
Bila kujali mama yangu amemuambia nini, ikitokea mwanamke akanitamkia kauli kama hiyo, hakika nitabadili maisha yake kwa namna ya kipekee sana!

In short, amemaanisha jamaa analala na mamaake pia!
Ok
 
Unajua sioni sababu ya kuwa mwiba kwenye maisha ya mke wa mwanangu...kwanza ni kama binti yangu....naamin natakiwa kuwa mtu wa kwanza being there for them incase of anything iwe ni physically au spiritually. I am supposed to make sure they live happily together.
Na wewe utakuwa mama mkwe siku moja hahah
 
Back
Top Bottom