Ndoa inanishinda, naomba mnishauri kisheria

Asante saaana kaka
 
Hapo mume nae hajitambui
Aise mbona haya mauzauza mie sikuyapata hakyanani vile ninge ..... We niache kabisa......
 

Wenye mental toughness kama wewe ni wachache sana

Wengi ni vitoto fulani hivi vinaona wazazi wao kama miungu watu

Kila kitu vinapeleka na wazazi wanageuka nuts!

Such a terrible way to waste marriages!
 
Yes n mnyakyusa

Ungeoaga Mnyakyusa mwenzio mkuu haya yote ya foreign DNA usingeyapata kabisa!

Mnge-match tu maana mna share same background!

Ila ulishafanyaga uamuzi jitahidi u-make it work aisee!

Sijaona kama nyie wawili mna tatizo lolote,waweke sawa hawa wazazi wakae mbali kabisa!
 
Kutoa ushauri kwa kusikiliza upande mmoja inaweza kupelekea tusishauri kwa usahihi kwa kiasi flani,

Hapo kuna multi causes iliyopelekea hali hiyo.

1 . Wewe mwenyewe unamchango
2. Mkeo
3. Mchepuko
Wazazi wenu

Huo mchepuko sasa hivi ndo anachochea kuni ile mbaya,

Yani sasa hivi anawmbiwa saa yoyote Kamba inakatika ili yeye afikiriwe kuingia ndani.

Michepuko mara nyingi siyo mizuri
 
Ushauri mzuri sana
 
Ustawi wa jamii wanahusika, kachukue barua ya utambulisho then kajisalimishe ofisi zilizokaribia nawewe unapoishi.
 
Dogo try to be serious!!!
 
Mkuu hivi nikuulize

Mkiwa kwenye migogoro hivi huwa mnafanya tendo la ndoa au ni kukaushiana tu??
Hahahahhaha hiyo hamu unaitoa wap?? Mtu anaapa atakukomoa?? Tangu mwez wa nane kila mtu kivyake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…