Pi Network
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 290
- 319
Haaaaaahaaaaa hiyo 'mh' vp ushaiangalia uliyoyaona imefanya ugune au hata kuingia kwenyewe hujaingia!Mmh!
Hamna kitu humo!.Haaaaaahaaaaa hiyo 'mh' vp ushaiangalia uliyoyaona imefanya ugune au hata kuingia kwenyewe hujaingia!
Duuu jamani!Ndoa nayoijua mm inayodumu ya maisha ya uswazi,mnaanza KUPENDANA,huko huko kwenye uchumba migogoro inaanza,wengine hadi kupigana,mwisho mnakuwa mme na mke sababu tu mwanaume anaamini pamoja na yote Kati ya wanawake wote aliowahi kuwa nao huyo ndio nyota yake.basi Mara watoto kupigana pigana kunaisha mwanaume anatafuta kimchepuko au michepuko kupunguza kugombana na mama watoto muda ambao Yeye anamuhitaji na mama watoto amepunguza kiwango Cha kumjari sababu ameweka mbele watoto,na bibie hata akisikia jamaa anachepuka ajari sababu target yake ilikuwa kuolewa na kuitwa mama mwenye nyumba,Basi ndoa za namna hiyo zinadumu
Hamna kitu kama hicho, watu wanakimbiana sanaKila ndoa ina historia yake hasa kuhusu jinsi wahusika walivyo kutana, mlolongo wa mahusiano yao na mpaka kutokezea kwenye ndoa.
Hii ni ndoa ambayo ambayo kwa kweli binafsi nimevutiwa nayo. Nawe nakukaribisha kuitazama kisha utoe maoni yako.
Bonyeza link hii
Hamna Cha kushangaa Mambo ndivyo yalivyo huku kwetu uswahilini,kina junior ndio wenye shida wanalazimishwa kuona familia zenye uwezo kwa uwezo , ndoa inafungiwa saint peters,ceremony inafanyikia hotel ambako wanayanga waloweka kambi,lakin mbwebwe zote ndoa inaishia mahakamaniDuuu jamani!
Haaaa haaa uswahilini raha sana, dagaa mchele fungu moja nyumba 3 mnagawana na kutosha kabisaHamna Cha kushangaa Mambo ndivyo yalivyo huku kwetu uswahilini,kina junior ndio wenye shida wanalazimishwa kuona familia zenye uwezo kwa uwezo , ndoa inafungiwa saint peters,ceremony inafanyikia hotel ambako wanayanga waloweka kambi,lakin mbwebwe zote ndoa inaishia mahakamani
Wazungu ndio maana hawaridhiki wameleta tamthilia zinazoendelea kubomoa mahusiano yetu sebuleni kwa umeme wa tanesco tena wa mgaoHaaaa haaa uswahilini raha sana, dagaa mchele fungu moja nyumba 3 mnagawana na kutosha kabisa
Pi Network is dead broKila ndoa ina historia yake hasa kuhusu jinsi wahusika walivyo kutana, mlolongo wa mahusiano yao na mpaka kutokezea kwenye ndoa.
Hii ni ndoa ambayo kwa kweli binafsi nimevutiwa nayo. Nawe nakukaribisha kuitazama kisha utoe maoni yako.