Ndoa inayodumu inaanza kama hivi...

Ndoa inayodumu inaanza kama hivi...

Pi Network

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2016
Posts
290
Reaction score
319
Kila ndoa ina historia yake hasa kuhusu jinsi wahusika walivyo kutana, mlolongo wa mahusiano yao na mpaka kutokezea kwenye ndoa.

Hii ni ndoa ambayo kwa kweli binafsi nimevutiwa nayo. Nawe nakukaribisha kuitazama kisha utoe maoni yako.

Ah..mambo ya link tena? Mtatusimuliaga tujadili jamani
 
Haaaaaahaaaaa hiyo 'mh' vp ushaiangalia uliyoyaona imefanya ugune au hata kuingia kwenyewe hujaingia!
Hamna kitu humo!.
Unajua issue za NDOA kuna watu wanadhani ni mchezo mchezo wa kuigiza, ilihali juzi dada yenu sijui nani vile alifunguka kilichojiri ndani ya NDOA yake baada ya kichapo kikali.
 
Ndoa nayoijua mm inayodumu ya maisha ya uswazi,mnaanza KUPENDANA,huko huko kwenye uchumba migogoro inaanza,wengine hadi kupigana,mwisho mnakuwa mme na mke sababu tu mwanaume anaamini pamoja na yote Kati ya wanawake wote aliowahi kuwa nao huyo ndio nyota yake.basi Mara watoto kupigana pigana kunaisha mwanaume anatafuta kimchepuko au michepuko kupunguza kugombana na mama watoto muda ambao Yeye anamuhitaji na mama watoto amepunguza kiwango Cha kumjari sababu ameweka mbele watoto,na bibie hata akisikia jamaa anachepuka ajari sababu target yake ilikuwa kuolewa na kuitwa mama mwenye nyumba,Basi ndoa za namna hiyo zinadumu
 
Duuu jamani!
 
Kila ndoa ina historia yake hasa kuhusu jinsi wahusika walivyo kutana, mlolongo wa mahusiano yao na mpaka kutokezea kwenye ndoa.

Hii ni ndoa ambayo ambayo kwa kweli binafsi nimevutiwa nayo. Nawe nakukaribisha kuitazama kisha utoe maoni yako.

Bonyeza link hii

Hamna kitu kama hicho, watu wanakimbiana sana
 
Duuu jamani!
Hamna Cha kushangaa Mambo ndivyo yalivyo huku kwetu uswahilini,kina junior ndio wenye shida wanalazimishwa kuona familia zenye uwezo kwa uwezo , ndoa inafungiwa saint peters,ceremony inafanyikia hotel ambako wanayanga waloweka kambi,lakin mbwebwe zote ndoa inaishia mahakamani
 
Haaaa haaa uswahilini raha sana, dagaa mchele fungu moja nyumba 3 mnagawana na kutosha kabisa
 
Wazungu ndio maana hawaridhiki wameleta tamthilia zinazoendelea kubomoa mahusiano yetu sebuleni kwa umeme wa tanesco tena wa mgao
 
Kila ndoa ina historia yake hasa kuhusu jinsi wahusika walivyo kutana, mlolongo wa mahusiano yao na mpaka kutokezea kwenye ndoa.

Hii ni ndoa ambayo kwa kweli binafsi nimevutiwa nayo. Nawe nakukaribisha kuitazama kisha utoe maoni yako.

Pi Network is dead bro
 
Back
Top Bottom