Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Kuanzia watu wenye miaka 33 ambao hawajaingia kwenye ndoa Kuna uwezekano wakashindwa kuzimudu ndoa kabisa na kupelekea ongezeko la single mothers nchini
Sahivi maisha yanaenda Kasi sana ebu fikiria matukio haya yafuatayo
1;Ndoa kwa njia ya harus za kifahari
2; Baby shower
3; 40 ya mtoto
4; Birthday party
5; Anniversary bila shaka hii inafanyika kila baada ya miaka mitano
Hayo yote n matukio yanayohitaji pesa ukiwa kwenye mahusiano
Na mbaya zaid yamekuwa kama trendings kwa sasa kias kwamba mtu akitaka kufanya tukio Mojawapo lazma apitishe michango na mihaliko kibao
Mabinti waliopo kwenye mahusiano na kwenye ndoa wengi wanataka wafanyiwe hivi lakini uchumi wa mabwana zao hauruhusu lkn wao hawataki kuelewa wanachotaka ni party tu
Kwa mazingira kama haya lazma ndoa zitakosa usikivu na kuvunjika endapo utajikuta upo kwenye mahusiano au ndoa na mtu anayepelekeshwa na mashoga zake wa mitandon huko TikTok
Wazee wetu wamefanikiwa kwenye ndoa zao kwasababu hawakuwa na hekaheka kama hzi