Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Imefika wakati Sasa nikupatie katoto ๐Za millenia sio tatizo labda gen z
Aisee๐Na huyo Mtoto unaweza Kuta wa EX WAKE Hawa Gen Z siyo watu wa mchezo mchezo, unaweza jikuta unalea mtoto wa kidume mwenzio
kizazi Cha GenZ kinaitwa GenBeter kama sijakoseaHali ni mbaya, divorce after divorce! Millenia wamezaa kizazi cha alpha, sijui kitakuwaje. GenZ ni zao kuu la GenX, failures wakubwa wa malezi๐
Unasema kwel.?Imefika wakati Sasa nikupatie katoto ๐
Anaonesha progressive change๐Imefika wakati Sasa nikupatie katoto ๐
Yaaa. Wacha tuzae umri unaendaAnaonesha progressive change๐
NakubaliSasa ya nini nikutanie.
min-me Jr ๐