David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,894
- 6,020
Sio mbaya maana watamtenga. Hivyo ataishi kwa tabu sana. Uislam watamuona msaliti,wakristo watamuona ndumila kuwili,wapagani hawatamuelewa
Numbisa ukitaka kujua viongozi wetu wa dini ni wabinafsi iko kifungu watakiruka