Ndoa na Dini

Huo ni mtazamo wako wako nchi isingetosha ina maana watu hawafi?Kama ni hivyo nchi za kiarabu pasingetosha.
Wazee wa zamani mke mmoja anazalishwa watoto 15 na life linasonga,kwa sasa hivi hata uwe na wake 4 hauwezi kufikisha watoto 15.
Kuzaa siyo tatizo tena hao wachache tatizo ni namna ya kui-handle familia iwe bora kuanzia kwenye afya ya hao wake wakati wa kujifungua,watoto wasome vizuri,wale vizuri walale pazuri wavae vizuri etc.

Siyo mke leo anapata uchungu wa kujifungua unampeleka zahanati ya mtaa ukitegemea huruma ya nurse.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…