Nyongeza, sheria ya nchi (Tanzania) inaeleza uwepo wa ndoa kwa imani ya ukristo au uislamu; kwa hiyo uwepo wa sheria pia umelazimisha ndoa zifungwe makanisani na misikitini. Biblia haina takwa hilo la ndoa kufungwa kwenye sinagogiHakuna mahali popote kwenye Biblia walipopewa Mamlaka.
Ni utaratibu tuu wa madhehebu.
Hivyo sio dhambi kutunga ndoa kijadi,
Yaani unaenda upande wa kiukeni, unatoa posa, kisha unachukua Jiko lako.
Ndoa inahusu MKE na Mume tuu, kisha kama kuna nyongeza basi ni familia za Pande mbili full stop.
Mambo ya wachungaji ni janja na mbinu ya kuhakikisha Watoto watakaozaliwa wawe Wateja/waumini wa dhehebu Hilo. Na sio vinginevyo
Nyongeza, sheria ya nchi (Tanzania) inaeleza uwepo wa ndoa kwa imani ya ukristo au uislamu; kwa hiyo uwepo wa sheria pia umelazimisha ndoa zifungwe makanisani na misikitini. Biblia haina takwa hilo la ndoa kufungwa kwenye sinagogi
Umenena vyema sana. Aliyeleta dini za kimagharibi na mashariki ya kati mwambieni ana adhabu yake inamsubiriNi kweli Kabisa.
Ila kama ningekuwa mshauri wa Vijana ningewaambia wafunge ndoa za kijadi. Kulingana na tamaduni zao.
Ndoa za kijadi Sifa yake kuu NI ngumu kukushinda Kwa sababu imebeba mfumo na asili ya kiafrika.
Wakati ndoa za Kikristo na uislam zipo mbali na asili na mifumo ya kiafrika.
Halafu hao ndio wanaharibu watoto, mbaya zaidi tutoto tudogo twa kiumeMamlaka wamejipa wenyewe,mfano padri akizini ni ameanguka na mkristo yeyote akizini ametenda dhambi
Ili wafunge ndoa za kijadi na ziwe na maana ni lazima waishi kijadi kabla ya kufunga ndoa. Yaani watu walioishi kisasa hawawezi kufunga ndoa ya kijadi na ikawa na maana.Ni kweli Kabisa.
Ila kama ningekuwa mshauri wa Vijana ningewaambia wafunge ndoa za kijadi. Kulingana na tamaduni zao.
Ndoa za kijadi Sifa yake kuu NI ngumu kukushinda Kwa sababu imebeba mfumo na asili ya kiafrika.
Wakati ndoa za Kikristo na uislam zipo mbali na asili na mifumo ya kiafrika.