Ndoa na mahusiano

magumbugu

Senior Member
Joined
Sep 27, 2017
Posts
143
Reaction score
266
Zamani mahusiano au ndoa ilikuwa ni watu wawili kutengeneza kesho yao, na watoto wao lakini leo imebadilka ndoa imekuwa sehemu ya mwanamke kujitafta kiuchumi, akijipata anaondoka bila kujali anakiacha katika hali gani

Yaani mwanamke sasa hivi anataka uhuru wa kiuchumi atatumia kila mbinu ajikwamue, atakuja kwako kwa mbinu ya kuolewa, akijipata tu anaomba taraka.

Mambo mengine tukubali ukweli tu zamani yali work lkn kwa sasa au miaka yetu yamegoma, tukaze kutengeneza kesho zetu, ndoa ziwe optional tu
 
Back
Top Bottom