BUMIJA JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 5,950 Reaction score 11,295 Feb 19, 2013 #1 40%ya watoto wetu wameoana,taka usitake habari ndo hii,hasa shule za kata madogo wengi wanatumika mapenzi bila ya wazazi kua na habari,na Wengi wana simu,na ni kua wazazi tunawapa na zingine zafichwa wazazi hatuoni,na tunawadekeza sana wanetu.
40%ya watoto wetu wameoana,taka usitake habari ndo hii,hasa shule za kata madogo wengi wanatumika mapenzi bila ya wazazi kua na habari,na Wengi wana simu,na ni kua wazazi tunawapa na zingine zafichwa wazazi hatuoni,na tunawadekeza sana wanetu.
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,515 Reaction score 28,506 Feb 19, 2013 #2 Vipi wale watoto wa bweni ambao wngi wanakaa mashuleni bila simu na hawajaoa??? Mbona shule maaalumu nazo zinaporomoka???
Vipi wale watoto wa bweni ambao wngi wanakaa mashuleni bila simu na hawajaoa??? Mbona shule maaalumu nazo zinaporomoka???
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Feb 19, 2013 #3 Hawasomi ndio jibu sahihi
Obama wa Bongo JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 5,431 Reaction score 4,925 Feb 19, 2013 #4 peleka veta haoooooooooo!
BUMIJA JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 5,950 Reaction score 11,295 Feb 19, 2013 Thread starter #5 Wabweni wanasimu baadhi wanaziicha