40%ya watoto wetu wameoana,taka usitake habari ndo hii,hasa shule za kata madogo wengi wanatumika mapenzi bila ya wazazi kua na habari,na Wengi wana simu,na ni kua wazazi tunawapa na zingine zafichwa wazazi hatuoni,na tunawadekeza sana wanetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.